Mtandao wa maendeleo ya wanawake nchini kupitia vikundi vya ujasiliamali(INUKA)umezindua mpango wa kuwapatia elimu vijana,wahudumu wa bar (bar medy)jinsi ya kujikinga na matumizi ya madawa ya...
Marehemu Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake katika vurugu za wafuasi mwa chama cha CHADEMA na Polisi ambapo mwanahabari Daud Mwangosi amedaiwa kufariki katika...
Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu...
Tanzania ya 1980 si hiiya leo, imebadirika sana. Kama wewe hujazaliwa jijini au hata kama umezaliwajijini inatosha kuona tofauti ya DSM ya miaka 32 iliyopita. Nikiwa mdogo sana,katikati ya mji...
Jamani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo/baruti/ maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani? Huku ni...
Ilitokea mida ya saa moja jioni ilikuwa inatokea Dar ilipofika salanda ndo moja ya engine yake iliwaka moto na kusababisha taharuki kwa abiria waliokuwa wanasafiri, baadhi yao kujeruhiwa...
Mkoa wa Kagera hasa Bukoba kuna umasikini wa kufa mtu. Wahaya walioko Dar ni wanafiki tu lakini huko kwao ni shida tu. Hali hii imeletwa na wanakabila hawa kutokupokea kwa njia iliyo chanya...
Heshima kwenu wadau,
Wikendi iliyopita nilileta uzi hapa kuwatahadharisha wadau kuwa makini na mtu anayetapeli watu kwa kutumia taasisi ya serikali ijulikanayo kama TANZANIA INVESTMENT...
Wakuu nakatiza hapa maeneo ya kiwanda cha sigara(nyerere road) nashuhudia moshi mkubwa sana unatoka kwenye moja ya store zao...wananchi wanaoshangaa ni wengi...mwenye kuwajua fire awape taarifa...
BAADA ya kimya cha muda mrefu, baba mzazi wa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Stephen Ulimboka, amekubali kuzungumzia sakata la mwanaye kutekwa, kuteswa, kutibiwa na hatimaye...
Natoa wito kwa watawala na polisi wa Tanzania kusoma alama za nyakati kuhusiana na mabadiliko yanayopamba moto.
kama ilivyo kawaida watu kubisha na kutokubali ukweli japo unajulikana wapo...
Wana jf, naomba ushauri. Nina tumia airtel BB sevice kwa miaka mitatu sasa na kwa mwezi wanakata 35000 kwa mwezi na wanakata automatically ili muradi kuwe na salio.
Sina uzoefu na mitandao...
Jmani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani?
Wanajamvi,
Nadhani mtakumbuka nilikuja na thread ya Ajali Mbaya ya Hiace Jimboni kwa Mwigulu Nchemba masaa mawili yaliyopita.
Muda huu kuna taarifa ya kuwa mtu mmoja amefariki baada ya...
Mie naomba niwaulize ndugu zangu
Hivi kuna sababu maalum kwa nini viwanda alivyoanzisha baba wa taifa vimekufa?
Ulipovunjika umoja wa Afrika mashariki Kenya walibaki na viwanda viwili tu vya nguo...
Kweli hii nchi yetu kichekesho.
Wakati viwanda vinavyozalisha vyakula kama tanganyika packers vimekufa na vingine kama vya zana za kilimo nguo nk, viwanda vya kutengeneza ulabu, na sigara ambavyo...
MAANDAMANO KUPINGA MAUWAJI YA KINYAMA YANAYO FANYWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA KUFANYIKA WASHINGTON DC. MAREKANI
Mandamano ya kupinga mauwaji ya kinyama yanayofanywa na Jeshi la Polisi Nchini...
Wanajamvi,
Muda si mrefu natokea kwenye tukio la ajali ya Hiace iliyopinduka eneo la barabara ya Misigiri-Kiomboi na kusababisha vifo vya watu watatu.
Baada ya muda wa nusu saa, Mh. Mwigulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.