PICHA: Said Mwema akimfariji mmoja wa majeruhi walioumia wakati polisi wakiwadhibiti CHADEMA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
383303_10151139931199339_1880697331_n.jpg

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Said Mwema akimfariji mmoja wa majeruhi walioumia wakati polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Chadema wiki iliyopita.Mwandishi wa Habari wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten,Daudi Mwangosi alifariki katika vurugu hizo.

SOURCE;
Mwananchi Communications Ltd
 
Kazi ya U-ICP ni NZURI - MR. Mwema anajaribu kuipalilia... Hajui WAISLAMU wameandamana?
 
Kazi ya U-ICP ni NZURI - MR. Mwema anajaribu kuipalilia... Hajui WAISLAMU wameandamana?

Hana ubavu wa kuamrisha tupigwe Mabomu Huyu shemeji yake fisadi Vasco, sisi waislamu tumeamua kumfuata huko huko ofisini kwake. Na wangejaribu kurusha hata baruti basi leo ndio ungekuwa mwisho wa serikali ya kifisadi, tuliwapania na wao wamesoma alama za nyakati ndio kilichowaokoa
 
Huu sasa ni unafiki vijana wake wampige yeye akatoe pole wakati anawaruhusu wakatumie nguvu hakujua adhara yatakayotokea?
 
Twamuombea apone haraka ili akajiunge na familia yake katika majukumu yake ya kila siku.
 
Hana ubavu wa kuamrisha tupigwe Mabomu Huyu shemeji yake fisadi Vasco, sisi waislamu tumeamua kumfuata huko huko ofisini kwake. Na wangejaribu kurusha hata baruti basi leo ndio ungekuwa mwisho wa serikali ya kifisadi, tuliwapania na wao wamesoma alama za nyakati ndio kilichowaokoa
oi Mkuu ni kweli hii kumbe eenh! isije kuwa waliacha kuwapiga kwa sababu Maofisi ya Balozi za Nchi za ulaya zipo maeneo ya karibu... Nilipotoka Lunch maeneo ya Office za Tigo niistushwa kuona police wengi na njia imefungwa kisha kuwekwa mkanda wa Police line nikaona kishanuka... nikashusha kioo kuulizia kulikoni nikaambiwa maandamano ya Waislam... wanataka waliokamatwa baada ya kukataa kuhesabiwa Sensa waachiwe na Ispekta Mwema na Waziri Wajiuzulu hiyo niliipenda ila nikajisemea Waziri mzuri mwingine tutampata wapi kama Nchimbi akijiuzulu!
 
Uzuri ni kuwa hiyo ni zao hasi la JK maana aliwekeza sana kwenye dini ili aikikwama kwenye mtandao akimbilie kwenye dini imsaidie kuingia ikulu baada kutingisha kwa maandamano ya kidini sasa wanamzidi nguvu na kuammua wanavyotaka na yeye hana ubavu wa kukemea!!!!!!!huyo ndio rais alietupa mipesa kugombania ikulu!!!
 
The best option kama mimi ndo ningekuwa huyo mgonjwa, ni kukaa kimya tu wala simjibu!
 
Back
Top Bottom