Harakati za marehemu daudi mwangosi wakati wa uhai wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harakati za marehemu daudi mwangosi wakati wa uhai wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiganyi, Sep 7, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Marehemu Daudi Mwangosi akionyesha bahasha yenye malalamiko ya wanahabari dhidi ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa
  [​IMG]
  Daudi Mwangosi (katikati) akiwa na naibu katibu wa IPC Francis Godwin(kushoto) pamoja na wanahabari George Ndamagoye na Edward Majura wa Nuru Fm ) wakiingia katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kufikisha malamamiko ya wanahabari Iringa [​IMG]Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa IPC katibu mtendaji Frank Leonard na katibu msaidizi Francis Godwin mwenye kamera siku walipotembelea kiwanda cha chai Katumba mkoani Mbeya wakati wa ziara ya balozi wa EU nchini
  [​IMG]Marehemu Daudi Mwangosi akipinga wanahabari mkoa wa Iringa kuendelea kubaguliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa ,kazi ambayo imesaidia kuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya ofisi ya mkuu wa mkoa na wanahabari Iringa
  [​IMG]
  Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wa UTPC Mary Edward na Rais wa UTPC Keneth Simbaya ,wengine pichani ni Zulfa Shomari aliyekuwa mratibu wa IPC , Selina Ilunga na kushoto katibu msaidizi wa IPC Francis Godwin na katibu mtendaji wa IPC Frank Leonard na mhasibu wa IPC Vicky Macha [​IMG]
  Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kulia) akiwa na wanachama na viongozi wa IPC baada ya kuchaguliwa kwa mara ya kwanza kuanza safari ya kuongoza IPC ambayo imekatishwa na polisi wengine ni katibu mtendaji wa IPC Frank Leonard na katibu msaidizi Francis Godwin (mwenye pama) pamoja na wanachama wengine
   
 2. s

  sambie New Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.I.P brother, damu yako haitapotea bure.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  R.I.P kaka tutendeleza uliyoacha yote mazuri.Waandishi wenzako hawatakuangusha watasimamia hadi dhuruma kwa serikali itakoma kama ulivyotarajia siku moja iwe
   
 4. piper

  piper JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  RIP wauaji wako wanahaha
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mi naomba usirest in peace! Watokee wote kila mara, mpaka wakome na kujitaja! Laanakhum ccm!
   
Loading...