Baada ya kufa Mwangosi,waandishi wa habari mtashikamana?

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Kama mtanzania nimekuwa nafuatilia umoja wa waandishi wa habari,pale wanapopata matatizo,
nilichogundua kama siyo waoga basi hamna mshikamano.kuna mwandishi wa habari aliuawa
Mwanza ktk mazingira ya kutatanisha,hii hata kuandikwa tu ilipotezewa.Kama kuna wakati niliwaza
kuona mshikamano wa tasnia ya habari ni pale gazeti muhimu kwa Watanzania Mwanahalisi
lilipofungiwa kibabe bila sababu za msingi,lakini cha kusikitisha mmeonyeshja ubinafsi wa hali
ya juu kwa kumuacha Kubenea mwenyewe ajitetee na kujipigania peke yake.Je baada ya kuuawa
Mwangosi tutaona nguvu yenu au ndio mmeshamaliza kwa kutoa matamko!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom