WanaCHADEMA tushusheni baraza la mawaziri 2015, Sitta anasema hatuna viongozi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaCHADEMA tushusheni baraza la mawaziri 2015, Sitta anasema hatuna viongozi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Curriculum Specialist, Sep 5, 2012.

 1. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1. John Mnyika Nishati na Madini
  2. Zitto Kabwe Fedha
  3.
  4.
  5.
  6.
  8.
  9.
  10.
  11.
  12.
  13.
  14.
  15.
  16.
  17.
  18.
  19.
  20.
  21.
  22.
  23.
  25.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  muda badoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ukifika utajua
   
 3. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi mwenyewe niko kwenye maandalizi ya kugombea ubunge na elimu na uwezo wangu kiutendaji,
  hawa mawaziri wa magamba wote wakikusanya nguvu zao hawanifikii.
   
 4. s

  sad JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tangu lini mawaziri wakakosekana? watu wapo wengi tu chadema isipo kuwa sitta nataka wawe waroho wa mdaraka kama yeye ili awaone
   
 5. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280

  Chadema na nyie mtanivunja moyo mkiwa na Baraza la Mawaziri kubwa kama la CCM. Mawaziri 15 wanatosha kabisa kuendesha nchi hii.

  Na pia Slaa alipaswa tu kumwambia Sitta kwamba wapo wapiganaji kadhaa ndani ya CCM ambao Chadema inawakubali, na inaelewa kwamba si wakati muafaka kwao kuja kujiunga na CDM kwa sasa, na kwamba Chadema haitasita kuwatumia wakati muafaka ukifika, kama tu ambavyo ilifikiria kumtumia Sitta wakidhani alikuwa mpiganaji halisi kumbe ni mbabaishaji anayetaka uraisi tu.

  Slaa anapaswa kumwambia Sitta kwamba Chadema haichukii wana-CCM, inachukia matendo ya wengi ya watendaji wa CCM na utendaji wa CCM kama chama tawala.

  Na Slaa anapaswa kumwambia Sitta kwamba sehemu ya kura zitakazoiweka Chadema madarakani ni zile za wanachama wa CCM, na Chadema watawashukuru wanachama hao wa CCM kwa kuwa wazalendo wa kweli wanaotaka mabadiliko nchini, bila kujali kwamba wao ni wanachama wa CCM wanaowapigia viongozi wa Chadema kura.

  Ushauri wa bure kwa Chadema; anzeni kuwashawishi wanachama wa CCM kuwapigia Chadema kura na kwamba si lazima waihame CCM!

  Chadema msigande sana kwenye hoja kwamba kuvua gamba lazima utoke CCM. Unaweza kuvua gamba wakati bado uko CCM huko huko. Kumbukeni kwamba haileti mantiki kwa kila Mtanzania kuwa mwanachama wa Chadema. Washawishini watu wawapigie kura, wakipenda kwa kujiunga na Chadema, lakini pia kwa kubaki na vyama vyao.
   
 6. M

  Mgengeli Senior Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waziri TAMISEMI Silinde Waziri wa sheria Lisu A.T Waziri Afya Dr A.Mbassa Ardhi Njeru kasaka Elimu Prof Royig,Maji DIONS Ntagazwa,Nje kasulambayi,Viwanda Kashindye,Ndani Wenje,Teknorojia NASAR, ulinzi Lwakatare,Ujenzi ARFI,Madini Mnyika,uratibu Lema
   
 7. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  No mkuu now ni mapambano kwanza now ni Vua gamba vaa Gwanda na M4C in parallel ikiisha hii ya kuomba kura kwa wanachama wa CCM itakuwa inaitwa fua gamba
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe Sitta muongo sana, si alisema hatuna viongozi wa kuongoza nchi! Kumbe wako kibao!
   
 9. Gaston Mbilinyi

  Gaston Mbilinyi JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa atashika nafasi gani? Nauliza tu!
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: duh wako wawili tu? Aisee mko tayari kweli 2015?
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Michezo Sugu,Ulinzi Lema Rais Mbowe wengine kesho
   
 12. M

  Mgengeli Senior Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ina oviongozi wengi ambao hata chama cha mapinduzi daima kinawatamani sana,na mtu kama six hana uwezo wa kuwa mstari wa mbele yeye kwa kuwa anayo mafao ya uspka milele angefikilia cha kufanya sio kusema jambo ambalo si kipaumbele kwa sasa
   
 13. j

  joely JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Namba mbili sina imani nae, na hii naisema kwa dhati kabisa
   
 14. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mawaziri kwenye serikali ya CHADEMA wapo wengi mno mpaka watabaki. hivi wewe uliwahi kufikiria kuwa alikuwepo Sospeter Muhongo, Janeth Mmbene au Saada Mkuya Salum kabla ya JK kuvunja baraza la mawaziri??? jaribu kuwa fikra pana, achana na hizo finyu ulizo nazo. kuna wasomi wengi tu tena waadilifu ambao hawana nafasi kwenye serikali ya kifisadi ya ccm, lakini CHADEMA ikiingia madarakani itawatumia kuendeleza nchi yao tukufu. tatizo lenu nyie ccm mnafikiria ki-ccm ccm, Watanzania wapo wengi tu wenye uwezo na wanataka kutumikia nchi na sio chama.
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  atakuwa mfagizi wa ofisi ya slaa akikubali lakini.
   
Loading...