Wizara ya mambo ya ndani: waziri Nchimbi aliunda kamati na si tume

Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
660
298
Kupitia ITV 'Habari za saa' wamesema kwamba wizara ya mambo ya ndani imetoa taarifa kuwa mh Nchimbi aliunda kamati na si Tume ili kuchunguza kadhia ya mkoani Iringa. Habari zaidi watatoa baadaye. Wadau wa sheria tusaidieni kamati hiyo inanguvu gani kisheria, na tofauti yake na Tume!
 
Hata kama ni tume, hoja za Lissu kuhusu uhalali wa wajumbe bado zinataka majibu.
 
sarakasi zinaanza hata kabla ya kamati/tume kuanza kazi... haya yetu macho na masikio
 
Malumbano yanahamia kwenye kamati/Tume!
na hapa ndio tayari wameshatutoa kwente reli... wala hatutakuja tujue ukweli wa hili jambo maana naamini yanatengenezwa mazingira ya baadaye kuja kukataa maoni ya kamati/tume. Si ajabu tukaja kuambiwa kuwa kwa kuwa iliyoundwa ni kamati na si tume, basi maamuzi yake hayana nguvu kisheria.
 
Nchimbi alitumia neno gani wakati anaongea na waandishi wa habari? Tume au Kamati? Kama kuna mtu ana record ya press conference yake tafadhali aiweke hapa.
 
Wanakanusha nini wakati Waziri kilaza alisema ni tume? Nani hajui hili? Kaaazi kweli kweli
 
nakumbuka kwenye taarifa ya habari kama alitamka tume..mwenye ile clip ya jana atuwekee humu tumuumbue masharubu nchimbi
 
Raisi Dhaifu, Nchimbi Dhaifu na serikali yote dhaifu! Asante sana Tundu Lissu...Kamati/tume mtajibeba mwaka huu
 
Yaani anadhani kwa kubadilisha jina peke yake inatosha? If for all intents and purposes, alichokiunda ni tume (na hana mamlaka ya kufanya hivyo), hata akibadili jina haliwezi kuondoa illegality yake! Hivi huyu Nchimbi ni Dr wa nini?

A council is generally elected, whether it's a student council or a town council. Being elected, it probably has a "term" or a limit of time that it exists before it must go back to the voters.

A committee is usually "struck" - which means that a group, a council or any group, may appoint or call for volunteers to join a smaller group, a sub-group, a committee to discuss a particular smaller issue, and then report back to the main group. Committees may be "standing" which means they exist more or less permanantly, or "ad hoc" meaning their existance will cease when they make their final report.

A commission is usually appointed by a government body. The members aren't usually elected, nor do they generally hold up their hands and volunteer. The responsible party, leader, chairman/woman, simply says, "I'll form a commission to study this" and then does so. A commission has a specific task or research project, and when complete, reports back to the party that appointed it, and then disolves (ceases to exist).
 
Yaani anadhani kwa kubadilisha jina peke yake inatosha? If for all intents and purposes, alichokiunda ni tume (na hana mamlaka ya kufanya hivyo), hata akibadili jina haliwezi kuondoa illegality yake! Hivi huyu Nchimbi ni Dr wa nini?
SMU baada ya utangulizi huo alichounda Mh. Waziri ni kamati ndogo ya Wizara au ya Jeshi la Polisi?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
SMU baada ya utangulizi huo alichounda Mh. Waziri ni kamati ndogo ya Wizara au ya Jeshi la Polisi?
I hope ni ya wizara maana ya polisi tayari ipo (IGP). Ingekuwa waliomo kwenye hicho alichikiunda ni watu wa wizarani kwake tu, pengine angeweza kukiita kamati.
 
Kweli Lissu anaitesa sana CCM na serkali yake! Poleni wanaCCM na serkali yenu!1

Ahsante sana kamanda Tundu
 
who cares? vyote ni viini macho, waue wao waunde tume/kamati wao.
 
Back
Top Bottom