Utendaji kazi wa tovuti ya Wananchi

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,444
3,198
Kipindi fulani nyuma, serikali ilizindua www.wananchi.go.tz ili Watanzania wapate kuwakilisha kero zao kwa idara kadhaa za serikali moja kwa moja na kupatiwa majibu.
Mwaka jana mwanzoni niliuliza Ofisi ya Raisi swali, nikapewa pasword, kwa masikitiko, mpaka sasa nikifuatiliaa jibu naambiwa swali lako linashughulikiwa.
Naomba kuuliza, je swali linashughulikiwa zaidi ya mwaka mmoja? Je jibu hilo litakuwa na faida gani baada ya zaidi ya mwaka?
Naomba uzoefu wako ikiwa kama ulishawahi kuuliza swali lolote na kupata jibu.
 
Back
Top Bottom