Jukwaa la katiba la nena kuhusu tume ya nchimbi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la katiba la nena kuhusu tume ya nchimbi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bunguabongo, Sep 7, 2012.

 1. B

  Bunguabongo Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Jukwaa la katiba limetoa tamko kuhusu tume ya Nchimbi. Tamko likisomwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo limesema; "kwanza ile siyo tume ni kamati iliyoundwa na nchimbi, kamati hii haitambuliki. Jukwaa linamtaka RAISI aunde tume ya kuchunguza mauaji ya mwandishi DM. Nchimbi hawezi kuunda tume maana yeye, pamoja na IGP wake na jeshi lote la polisi linastahili kuchunguzwa. Jukwaa limeenda mbali zaidi kwa kuitaka tume itakayoundwa,baada ya uchunguzi kukamilika, ipeleke majibu Bungeni kwa ajiri ya kupata ushauri wa kibunge. Mwenyekiti alimalizia kwa kusema...hatudanganyiki!" Aidha jukwaa la katiba linaitaka serikari kutoa tamko la kuisaidia familia ya DM kuisaidia kwa muda wa miaka ishirini ili watoto wa marehemu mpaka wafikie umri wa kujitegemea. Kwa maoni yangu jukwaa limenena vizuri kabisa, kwa mujibu wa sheria na kwa kuangalia familia ya marehemu, mjane na watoto. source; Star TV, Habari ya saa nne asubuhi ya leo.
   
 2. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Bungeni tena!? Huko ndio kabisaaaaa! Wabunge wa CCM wote,watakuwa upande wa POLICCM!
   
 3. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Hivi si nimesikia kina Hellen Kijo Bisimba wanampango wa kwenda ICC, nadhani huko ndio mahali sahihi, mi sina imani na magamba, bunge wala serikali wala mahakama, wote ndo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!
   
 4. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  ICC ndo alfa na omega ya udhaarimu huu. Hawa magamba lazima watundikwe tu.
   
 5. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mambo yote yapelekwe kwa fatou bensouda, the hague. jaji mwenyewe nani hapa? ihema na mbarouku.
   
 6. m

  masluphill Senior Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwa mtazamo wangu naona hakuna haja ya kumsahihisha NCHIMBI kuwa hakuunda tume bali ni KAMATI ye kasema ni ''tume'',
  Hivyo tumtuhumu kwa kuunda tume kinyume na sheria kama alivyo alivyosema T.LISSU,ili ajue watu wapo makini zaidi yake na yeye ni KILAZA tu hajui chochote ndo mana anakurupuka kuunda tume hali ya kuwa hana sifa za kufanya hivyo
  1/ Cheo chake hakina hadhi ya kufanya hivyo,
  2/ Yeye mwenyewe ni kiongozi wa wizara inayo tuhumiwa kwa namna nyingine na yeye ni mtuhumiwa.
  USHAURI:
  a/ Mh NCHIMBI kaonesha udhaifu mkubwa sana na kama anataka kuheshimu utala bora anatakiwa aji uzuru haraka iwezekanavyo asisubiri kama mwenzie yuleee w/afya,
  b/ Mh Raisi nae anapaswa kuwachukulia hatua mara moja hao vilaza vinginevyo nae hataeleweka.
   
 7. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hawa jamaa napendekeze wapelekwe huko2 icc il kieleweke!
   
 8. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yaani Nchimbi anataka kutufanya sisi ni Wajinga? Mauaji aamrishe yeye halafu anatuundia "Tume" ya Kimagumashi! Hili lijamaa halijastuka tu kwamba Watanzania wengi tumesoma na tunauwezo mkubwa wa kuelewa kuliko yeye? Hili jamaa hamna kitu. Angoje tu The Hague inamwita.
   
Loading...