Gari inayojazwa hewa badala ya mafuta jitayarisheni 2013!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
Limefanikiwa shirika la india tata motors kutoa gari aina ya air pod,jambo lililopelekea ufaransa kuekesha oda ya nguvu itakayokabidhiwa mwisho wa 2013,gari hiyo ina uwezo wa kubeba watu watatu,na speed yake ya mwisho kabisa ni 80km kwa saa,na bei yake ni $10000/=
tusubiri kutumia wazalishaji wapo!!!
 
Teknolojia nzuri, gari hii inafaa kutumika katika barabara za mijini tu.
 
Back
Top Bottom