Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

palipotoke mauaji ya kamanda mwangosi,tume ya wahariri ilito mwongozo kwa vyombo vyote vya habari kususia habari za jeshi la polisi,lakini hawa TBC wapo bize kuwa uzisha sura polisi. Je...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show - Jakaya Mrisho Kikwete - Said Mwema -RPC's wa mikoa viliko tokea vifo -Chagonja -Tendwa Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi
0 Reactions
16 Replies
1K Views
tukio la kusikitisha limetokea Bunju beach Masaiti, baada ya majambazi kuja na stail mpya, staili waliohitumia ni kuchukua Defender kama ya Police na kuchukua kijana mmoja kujifanya amewekwa chini...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
watu wapatao sita wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa chimbila (mnacho) wilayani ruangwa –mkoani lindi. Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sulemani Kova amezoea sana kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa. Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, taarifa ya uongozi wa kampuni ya Africa Media Group ambao ndio wanamiliki wa Kituo cha Televisheni cha Channel 10 wa kuitaka Serikali kuanzisha uchunguzi huru ili kubaini...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
jamani, habari zenyu bhaana. Samahani lakini. naomba kujua kwa anaeelewa kuna mipete flani mikubwa wanaume wengi, viongozi na watu wenye uwezo mkubwa kifedha hupenda kuyavaa. hivi zile'pete ni za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
6 Reactions
116 Replies
8K Views
Sijua mamlaka zinazohusika zimelala usingizi gani yaani maTrafick na EWURA.umbali wa hapa Nzega-Tabora ni KM 116 nauli ni kuanzia Tsh 12,000 mpaka 15,000 hailingani kabisa na hali halisi. wakati...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
The Minister for Natural Resources and Tourism, Ambassador Khamis Kagasheki, has warned professional hunters against using financial muscles by bribing officials at the ministry to sidestep...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Ajali mbaya imetokea muda huu kati ya basi ya abiria la Ally Bus Service lililokuwa linatoka Bariadi kwenda Mwanza lilipogongana uso kwa uso na lori la mzigo maeneo ya malampaka na kwa bahati...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni...
1 Reactions
123 Replies
10K Views
Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Ni masaa manne toka nimeingia benki, nasubiria cheki ihakikiwe, sababu wananiambia kwa kuwa cheki ni ya tawi lingine. But 4 hours and I'm still waiting?? Muda ambao ningetumia kwenda kurudi kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Homeless children lie on the terrace of the Benjamin William Mkapa building on Posta Mpya Street in Dar es Salaam. The gevernment kicked off a programme on Saturday (September 1st) to take more...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Jamani naomba wahusika waifanyie kazi kero tajwa hapo juu,kwa week hii foleni imekuwa too much.polisi waliowekwa pale ubungo hawana uzoefu na foleni husika.ushauri wangu wazoefu warudishwe. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rukwa RC, Eng. Stella Manyanya speaking to SUMATRA's Director of Ports and Shipping Service Regulation, Peter Lupatu at his Regional office in Rukwa. Rukwa Regional Commissioner, Eng. Stella...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi ameunda kamati ya watu watano kuchunguza mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi. Akitangaza kamati hiyo Dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unajua nimekuwa nafuatilia jinsi ambavyo hadi sasa nimeona watu wa Mbeya wanakuwa na mwamko sana katika kupigania haki za watu, sijui kama wana kitu fulani kinachowafanya wawe hivyo. Ajabu ni...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom