Hivi ile muvi ya Kova kumhusu yule chizi wa Kenya imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ile muvi ya Kova kumhusu yule chizi wa Kenya imeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mystery, Sep 10, 2012.

 1. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,964
  Likes Received: 6,735
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka kamanda wa polisi wa kanda maalum ya kipolisi ya jiji la Dar, Suleiman Kova, alijitokeza mwezi wa saba mwaka huu na kulifahamisha Taifa kuwa wamemkamata mtu mmoja [chizi] toka Kenya, kuwa ndiye mtuhumiwa wa kumteka Dr Ulimboka, ambaye alidai wamemkamata kanisani Kawe kwa mchungaji Gwajima, ambako alienda huko kwa lemgo la kutubu, kutokana na tendo la kumteka Dr Ulimboka, Nakumbuka pia mtu huyo alifikishwa mahakamani Kisutu mara moja au mbili, kwa usiri mkubwa, kiasi ambacho hata waandishi mahiri, walishindwa kupata hata picha yake! Sasa baada ya mbunge Sugu kutamka bungeni kuwa ile muvi ya Kova imeshindwa kuuzika kwa wananchi, akamsihi Kova arejee studio ili akaandae Muvi nyingine mpya, na akaendelea kumsihi kuwa safari hii aandae Muvi nnzuri itakayouzika kwa wananchi. Tokea Sugu atoe tamko hilo, sijasikia tena mtuhumiwa huyo wa Dr Ulimboka akifikishwa mahakamani, sasa swali ninalomuuliza Kova, je amefuata ushauri wa Sugu, na hivi sasa yupo studio anaandaa Muvi mpya ya Ulimboka??!!
   
 2. i

  iseesa JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda anafanya "Editing" baada ya Ulli kurudi
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Die natural death... lets await an see!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mambo mengine ya nchi hii ni aibu sana
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  imekamilika ila wasambazaji wameigomea,!!
   
 6. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwani ya jairo na zito kutuhumiwa rushwa yaliishia wapi? litapita tu hilo
   
 7. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  MOVI Ime stop, kwani JAMBA(ULI) kafufuka!
   
Loading...