Rai yangu: KIBAHA acheni WIZI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rai yangu: KIBAHA acheni WIZI...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Sep 10, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ni wanaohusika na Stendi ya Mabasi ya Abiria pale Mailimoja. Kila basi linaloingia pale hutozwa 1000-kubwa na 500-dogo. Hata likiingia mara kumi kwa siku,hulipa mara zote hizo. Halafu,tiketi huchanwa getini na wakusanya pesa. Huu ni wizi wa wazi. Mbona Ubungo na Mwenge malipo ni mara moja tu? Wahusika mmeboresha huduma gani pale Kibaha hadi muendeleze wizi huu? Kimsingi,wahusika wa stendi ya Kibaha ni wezi...
   
Loading...