Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

uNaendelea sasa
police msaada pls
nipo eneo la tukio ni
nyelele road

njoo pls hali ni tete sana

V
SENGEREMA
 
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya NBC iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.

Kumbukumbu zangu zinaniambia jamana house kuna benki ya CBA, sikumbuki kama kuna benki ya NBC.
Benki ya NBC iko karibia na Tazara next to Willy enterprises.
 
uNaendelea sasa
police msaada pls
nipo eneo la tukio ni
nyelele road

njoo pls hali ni tete sana

V
SENGEREMA

post yako ulivyoiandika haraka na kwa kutetemeka nina wasiwasi upo next room na walipo hao MANJEMBA
 
Poleni wandugu, Lakini kwa polisi wetu wa sasa sijui kama msaada utawahi, wamezoea kuwahi kwenye matukio ya wananchi ambao hawana silaha kwa hapo kwenye silaha utawasikia silaha hiyo kubwa sana hatuwezani nayo wanajificha chini ya uvungu.
 
Mmh nilivyoona neno "live" kwenye title ya thread nikadhani tukio linaonekana live..,polisi waende wakapambane na wazee wa kazi huko sio kuua raia wasio na hatia kwa mabomu...ni sawa na kuua mbu kwa nyundo.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia jamana house kuna benki ya CBA, sikumbuki kama kuna benki ya NBC.
Benki ya NBC iko karibia na Tazara next to Willy enterprises.

you're very right na Clouds hawajadisclose jina la Bank
 
Polisi wa bongo!?? thubutu! labda ungekuwa mkutano wa CHADEMA wangeenda kusambaratisha!
 
Polisi wa bongo!?? thubutu! labda ungekuwa mkutano wa CHADEMA wangeenda kusambaratisha!

hahaha...ingekuwa vizuri kweli Clouds wangeibreak hiyo news kwa kusema CHADEMA wamevamia benki pale JAMANA HOUSE...yaani najua Wazee wa Favor yaan ndani ya dakika sifuri wangekuwa wamefika pale...suprise ni pale ambapo wameenda na magari ya majiwasha na vibomu vyao vya machozi wanakutana na wakuu wa JIJI wenye miguu ya kuku na vya moto
 
Kwakuwa Jamana house iko karibu na quality plaza ambapo kuna askari pale 24 hrs wanaolinda benki ya CRDB nilitarajia hadi muda huu kuambiwa kwamba wamejitokeza kupambana na majambazi hao wanaopora jamana house.
Kama hiyo haitoshi just opposite na jamana house kuna kituo kidogo cha polisi Brush ningetarajia hadi wakati huu wawe wamefika eneo la tukio kupambana na majambazi hao, lakini hadi sasa sijasikia taarifa zozote za polisi kufika eneo la tukio.
 
hahaha...ingekuwa vizuri kweli Clouds wangeibreak hiyo news kwa kusema CHADEMA wamevamia benki pale JAMANA HOUSE...yaani najua Wazee wa Favor yaan ndani ya dakika sifuri wangekuwa wamefika pale...suprise ni pale ambapo wameenda na magari ya majiwasha na vibomu vyao vya machozi wanakutana na wakuu wa JIJI wenye miguu ya kuku na vya moto

Mimi kwangu wakivamia majambazi ntapambana nao mwenyewe hadi ntakaposhindiwa mwenyewe lakini sijisumbui kuwapigia simu polisi wetu
 
Back
Top Bottom