AJALI mbaya KIMARA MWISHO,

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Imetokea ajali mbaya hapa kimara mwisho mda huu, inahusicha GARI AINA YA PRADO, LIMEGONGANA NA KENTA.

SUBIRI UPDATES
 
Imetokea ajali mbaya hapa kimara mwisho mda huu, inahusicha GARI AINA YA PRADO, LIMEGONGANA NA KENTA.

SUBIRI UPDATES

Kiongozi kakimbilia kuanzisha uzi wakati hana data!
Kilichotokea ni ajali ya Landcruiser Vx namba T 283 BUP rangi ya silver na Mitsubishi canter bahati mbaya hadi prate number hazikuonekana likiwa limebaba mifuko cement (kama jina langu)ajali imetokea maeneo ya shell ya oryxy hii ni uso kwa uso hali ya canter naona ni scrupper tu na Landcuiser pale mbele haifai kabisa na dereva yuko kwenye hali mbaya kwani mkono wa kulia umesagika wote na abiria wa upande wa kushoto alikuwa mwanamke nae pia yuko hoi wamekimbizwa hospitalini!na dereva canter kakimbia hajulikani alipo ntawapa picha baadae kidogo

Heshima mbele!
 
poleni sana na mliofikwa na janga hili natumaini mtapata matibabu ya haraka. hili eneo barabara inatengenezwa sisi juzi dereva katupitisha upande usio wetu ikabidi tuwe wakali maana ilikuwa balaa!!!
 
Sasa uso kwa uso inakuwaje na hiyo ni double road jamani? Waswahili wagumu sana nao! Pole yao majeruhi
 
Poleni majerui na wakazi wote wa kimara na viunga vyake

kweli heshima mbele
 
gari ndogo ilikuwa inatokea sheli na kuingia barabarani bila umakini, ndipo ajali hiyo ikatokea
 
jamani mimi huwa najiuliza hivi kuna mtu alishawahi kushuhudia ajali nzuri???
 
Back
Top Bottom