Je? Umauti ni sifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je? Umauti ni sifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PISTO LERO, Sep 9, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Watanzania wenzangu kuna yeyote anae weza kujisifu kwa umauti,je waweza kujisifia kwa kumpoteza ndugu au jamaa yako wa karubu na kugeuza kilio kuwa ufahari?kama sivyo kwanini tujisifie kuwa jamaa zetu ndio waliouwawa kwa wingi kuliko jamaa wa hao,kwanini unawaambia wenzako kuwa hao wamekufa wachache kuliko sisi,je hi inamaana kuwa siasa za sasa ni lazima tujisifie umauti?na kufikia hatua ya kuwashutumu wenzako kuwa hawana haki ya kutetea jambo flani kwa sababu tu jamaa wao hawajafa wengi kama nyie?je hii ni haki kweli????!.au sasahivi ili uwe na uhalali we kutetea jambo flani ni lazima na wewe upoteze jamaa kiliko wale.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hujaeleweka mkuu
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ukiona wanajisifia hivyo ujuwe ni wachawi.
   
Loading...