Hii leo tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii leo tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Comi, Sep 9, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Leo ni jumapili nyingine katika mwaka huu. Ni siku nyingine kwa wakristu kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa baraka na ulinzi aliowajalia bila kusahau afya njema.Ni siku ya kuwaonea huruma na kutembelea wagonjwa,wafungwa n.k kwani hujafa hujaumbika.

  Nawatakieni jumapili njema yenye furaha na amani MWENYEZI MUNGU IWE PAMOJA NANYI
   
 2. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Amina,nawe pia
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ubarikiwe
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante sana, nawe pia.
   
 5. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Thanx mkuu
   
Loading...