Mkutno wa C.U.F. jangwani ni vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutno wa C.U.F. jangwani ni vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Royals, Sep 9, 2012.

 1. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi.
  Mkutano wa CUF unaendelea sasa hivi jangwani na TBC1 wanaonesha LIVE ingawa inaonesha ni kwa shingo upande kwa kuwa mara kwa mara sauti haisikiki. Lakini pia naona hata katika jukwaa letu nako kuko kimya. Nimeona ni heri nianzishe uzi huu ili tuuchangie. Karibuni tuchangie kadri tunavyoweza.
   
 2. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Yakhe! CUF tushapewa chetu ati! tupo ndani ya Ikulu tukikaimu mamlaka ya sirikali, huwezi kutufananisha na manungayembe ya huko bara.
  HAKI SAwa
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  CUF wamainanga CHADEMA na CCM, wanakana wao si CCM B. Wanajaribu kuonesha CDM ndio CCM B kwa kuwa wanapata msaada wa Sabodo ambaye ni mwana CCM na mengineyo mengi. Nadhani wangeunganisha nguvu ili kuing'oa CCM badala ya kushambuliana.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa cuf ni serikali tayari mikutano ya nini?
   
Loading...