Tupate ukweli wa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupate ukweli wa hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steven Robert Masatu, Sep 7, 2012.

 1. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  [h=6]FELLAS HII KITU NIMEIPATA KWA WALL YA MTU NINAYEMHESHIMU SANA, NAOMBA NIILETE KWENU TUIJADILI.

  ''''
  Amina Chifupa alikuwa anawajua........................

  Rais Jk auza nchi kumuokoa mwanae Ridhiwani asinyongwe China
  Huwezi kuamini lakini ni UKWELI

  Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed

  Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,

  Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado

  hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.

  Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,

  Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,

  Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.

  Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,

  Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.

  Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk na kuahidi kuanza utekelezaji kuanzia mwaka 2013

  Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.

  Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz
  '''''[/h]
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Hii tamthiliya imekosewa kwenye umaliziaji !!!!
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  halafu hii thread kila ikiwekwa hapa mods wanainyofoa, naamini kuna kaukweli fulani hivi ingawa...
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hivi umeitoa kwenye wall ya nani vile?
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  eeehhhhhhhhhhhhhhh! arooo! na mipetrol station yooote hiyo na mihotel yooote hiyo na midar live yooote hiyo bado...bado na poda???? duuuh hapa nakutete Riz moko jamaa wamekuinjinia kama walivyotaka kumfanyia mengi Jr.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,395
  Likes Received: 3,720
  Trophy Points: 280
  Bado mimi
   
 7. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hiyo taarifa yako ni manyehe feke(yaani haina ukweli) labda useme ni ndoto tu uliota mchana.
   
 8. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 809
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Du hadithi nyingine zinaweza haribu medula
   
 9. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ni katika jitihada za kuongeza number ya posts. Uko 235 mkuu kazana! Ukweli wengi hatumfagilii R1 sababu ya ufisadi wake lakini sio kwamba twameza kila tunacholishwa. Hicho hapo juu mi nimetema.
   
 10. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,517
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  hii sasa tena imekuwa too much .wanataka kufanya jf kijiwe cha porojo za kitaa
   
 11. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Not true. China strict displine won't save a trafficker....
   
 12. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Hizi ndio zile mambo za "Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea". Hii imekosa kingele cha "... utamu kolea".
   
 13. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  man jaribu kusoma tittle ya thread then contents, utaelewa kwamaba haya sio mawazo yangu bali ni mawazo ya mtu mwingine kapost kwa wall yake. Me yamenipa utata hayo maelezo yake thats why nikaamua niilete tuweze kupata ukweli wa hili suala na nimeiweka kama tetesi. Humu ndani kuna watu wa kada mbalimbali na wanajua mambo mengi yanayotokea ulimwenguni na ukumbuke hakuna siri ya watu wawili. Toa mawazo yako kulingana na unavyoona na sio kutupa kejeli.


  ""SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM""
   
 14. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Haulazimishwi kukubaliana na kila unachoona na kukisikia, akili za mbayu wayu changanya na zako
  :focus:
  man jaribu kusoma tittle ya thread then contents, utaelewa kwamaba haya sio mawazo yangu bali ni mawazo ya mtu mwingine kapost kwa wall yake. Me yamenipa utata hayo maelezo yake thats why nikaamua niilete tuweze kupata ukweli wa hili suala na nimeiweka kama tetesi. Humu ndani kuna watu wa kada mbalimbali na wanajua mambo mengi yanayotokea ulimwenguni na ukumbuke hakuna siri ya watu wawili. Toa mawazo yako kulingana na unavyoona na sio kutupa kejeli.
   
 15. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa mawazo yako mkuu apo nakuelewa.
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  lisemwalo lipo na kama halipo laja, na kwa vile chini ya jua hili hakuna siri tungeje utajulikana one day na ilivyo Mungu hacheleweshi siku hizi
   
 17. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  mkuu KOMBAJR
  Hilo swali la pili nimeliuliza kwa wall ya jamaa but aliniblock na hakulijibu
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
   
 19. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ma bad mazee. Deuces! :yield:
   
Loading...