U-binadamu POPOTE na WAKATI wowote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

U-binadamu POPOTE na WAKATI wowote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilau, Sep 10, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  1. Kuwa na mazoea ya kutenda mambo yaliyo mema kwa binadamu wenzako, tenda japo jambo moja tu lililojema kwa siku ... hebu jiulize umetenda mema mangapi kati ya jana na leo? Mabaya mangapi uliyo yatenda? 2. EPUKA kabisa kuwa na roho mbaya 3. Usipende wala usifurahie kuona au kusikia mwenzako anaingia katika janga ambalo kama ungemshauri, linazungumzika na kumuokoa maishani hasa wote mnapokuwa JIRANI AU KAZINI 4. Epuka kabisa kuwa na tabia ya kumzungumzia vibaya mtu ambaye hayupo machoni pako pasipo sababu, hasa UONGO, UMBEA usimsingizie 5. Muogope/Mheshimu MUNGU, MUNGU yupo yale yote mazuri na mabaya uyatendayo, mavuno yake utapata hapa duniani na baadaye kwa MUNGU kama sio leo kesho, na mengine mabaya/mazuri uyapandayo yatalipwa kwa wanao, wajukuu na wajukuu wa wanao
   
Loading...