Msiba: Liana (mtoto wa Namnaani -Sinza) Ametutoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba: Liana (mtoto wa Namnaani -Sinza) Ametutoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaldinali, Sep 9, 2012.

 1. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,

  Leo nasikititka kutangaza kifo cha ndugu yetu Liana. Liana ni mtoto mkubwa wa kiume wa Mzee wetu anaemiliki Guest House ya Namnaani pale Sinza. Liana ni yule ambae alipata ajali kama 5 years ago akawa kama anachechemea kidogo in the last 5 years. Liana alikuwa na diabetes na bahati mbaya alipata Pneumonia last week iliyosababisha complications na kupelekea kifo chake.

  Liana tulimpenda lakini Bwana amempenda zaidi na kuamua kumchukua ili aende kupumzika milele.

  Tunamuomba Mola amlaze mpendwa wetu Liana mahali pema peponi

  Amina
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Rest in peace Liana Praygod Mbaga
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Poleni sana, pumzika kwa amani Liana.
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  poleni wafiwa, RIP mpendwa Liana.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,490
  Likes Received: 81,808
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu~AMEN.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pumzika kwa amani marehemu
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Rip liana
   
 8. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Poleni sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
  Pumzika kwa Amani Liana!
   
 9. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  RIP Liana
  Namnaani forever:spy:
   
 10. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aksanteni sana wote!
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Jipe moyo mkuu,
  njia yetu ni moja na nina imani tutaungana nae siku za mbele.
  Tumuombee apumzike kwa Amani.
  :rip: Liana.
   
Loading...