Ajali ya Treni : Injini ya treni yawaka moto mlima wa saranda!

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,355
653
Taarifa nimeipata muda huu, Treni ya abiria imenusurika kupata ajali mlima wa Salanda, baada ya kichwa kimoja cha treni kuwaka moto..
Source: mfanyakazi wa TRL
 
Treni ya kwenda kigoma imepinduka kwenye mlima saranda, bado habari kamili kuhusu majeruhi hazjapatikana.ufutiliaji unaendelea kupata taarifa kamili.ajali hiyo imetokea usiku huu majira ya saa mbili.
 
Hii itakua hujuma sababu juzi tu waziri katoka kukagua reli na Mwakyembe alifanya ukaguzi wa kushitukiza pande hizi. Uwajibikaji ungekuwepo basi mawaziri wote wa kikwete wote wangekua wamejiuzulu. Mungu atunusuru. poleni majeruhi.
 
Leo jioni, Treni ya abiria ya kutoka Dsm-Kigoma ilisimama ghafla ktk milima ya Saranda baada ya kichwa cha treni kushika moto..ni juhudi tu za ziada za driver wa gari moshi kuitenga injini na mabehewa zilizoepusha ajali kubwa kutokea..majeruhi sikuweza kuona..
 
Hizo ndo Tren za Bongo, CCM imeua Usafiri wa Tren ambao ndo rahisi na wa ghalama ndogo, na Matakoeo yake hao hao CCM ndo wanamiliki Maroli ya Kusomba mizigo kwa sasa, Inauma sana kuona Reli zikiwa zimefunikwa na Majani na Mchanga, Mfano Mzuri ni Reli Ya Tanga- Arusha,

Serikali haina mpango wa Kufufua hiz tren zaidi Ya Usanii wa Kununua Vichwa Vilivyo Choka kutumika Huko India, hii ni hatari sana na Inauma sana,

Na bira usafiri wa Reli ambao hutumika kusafirishia Mizigo Mizito, Hizi Barabara zetu tutakarabati sana make hata Barabara mpya haziwezi Dumu Miaka 10 kutokana na Uzito wa Mizigo inayo pitishwa juu yake
 
Leo jioni, Treni ya abiria ya
kutoka Dsm-Kigoma ilisimama ghafla ktk milima ya Saranda baada ya
kichwa cha treni kushika moto..ni juhudi tu za ziada za driver wa gari
moshi kuitenga injini na mabehewa zilizoepusha ajali kubwa
kutokea..majeruhi sikuweza kuona..

hongera zake dereva kuepusha maafa!
 
asante kwa taarifa, ilikuwa limesimama saranda, au lilikuwa linapanda mlima? maana huwa linapanda na injini mbili kuanzia makutupora- saranda -manyoni,then injini moja inaendelea
 
Dr.Mwakyembe alizani umepata, CCM wanakumaliza kisiasa. Hiyo wizara ni bomu tena C4 itakulipua na wewe pia
 
Hii itakua hujuma sababu juzi tu waziri katoka kukagua reli na Mwakyembe alifanya ukaguzi wa kushitukiza pande hizi. Uwajibikaji ungekuwepo basi mawaziri wote wa kikwete wote wangekua wamejiuzulu. Mungu atunusuru. poleni majeruhi.

Siyo hujuma, engine zimechoka sana..na kama siyo juhudi binafsi kuitenga engine na mabehewa ingekuwa balaa..
 
wangapi mnataka magogoni ilipuliwe?then tuijenge sisi wenyewe?naomba idadi yenu tafathali...ili nipange mission..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom