waziri Kagasheki anajitetea kwa semunyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waziri Kagasheki anajitetea kwa semunyu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kankwale, Sep 10, 2012.

 1. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau kinachonishangaza waziri anajitetea na kulalamika kwa mwandishi wa habari semunyu kwny kipindi maalum cha dk45,badala ya kushindwa kuwawajibisha watendaji wa wizara na TANAPA kwenye ufisadi wa magogo,wanyama hai,Faru wa jk na umiliki vitalu.
   
Loading...