Uchaguzi wa Rais nchini Somalia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Rais nchini Somalia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilau, Sep 10, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Baada ya takriban miaka 21 tangu alipouwawa Rais wa nchi hiyo Marehemu Said Bare, Hatimaye wabunge wa nchi hiyo leo wanafanya uchaguzi wa kumpata Rais wao ndani ya Somalia, hii ni baada ya majaribio kadhaa ya kufanya uchaguzi wa Rais wakiwa nje ya Somalia na nchi kushinwa kutawalika na wa - Somali kuendekeza uchaguzi wa viongozi wao kutokana na ukabila, vikundi na koo na kuwa nchi yenye mauaji na maharamia kama El Shabab na wengine
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Hassan Sheikh Mohamud amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Somalia na Bunge la nchi hiyo...amepata kura 190
   
 3. R

  Ritts Senior Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi Rage Ismail na Bashe hawajaenda kuwa watazamaji wa uchaguzi wa kimataifa kule?
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Yule rais wa Zamani hatarudi msituni kweli wajameni kwani hawa jamaa ndio zao
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata akina Abrahamani Kinana na wasomali wote wenye dry cleaners hapa Arusha nahisi walikwenda
   
 6. sterling

  sterling Senior Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  uwe mwanzo wa utawala wa sheria katika somalia. Mungu ampe hekima ya kumaliza vita ya muda mrefu
   
 7. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  nimefurahia kwa somalia kuwa na central gvt na kupata raisi mpya baada ya kuchinjana kwa muda mrefu. Lakini kinacho nishangaza ni kuwa somalia inajiita mwanachama wa Arab league na inajiona ni taifa la kiarabu zaidi kuliko kuwa mwafrica/. speech aliyoitoa spika wa bunge lao baada ya kuchaguliwa ilinitoa kiwewe. Spika alisema kuwa "sisi wasomali tumekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuchagua spika kuliko nchi nyenzetu za arab league"

  ukiangalia nchi za kiafrica za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi ndizo zimepoteza askari zake wengi sana nchini somalia ili kuwasaidia wakae kwa amani. Hakuna hata nchi hata moja ya Uarabuni ambako wao wasomali wanjifanya ndio waliko, iliyotoa msaada wowote wa kuboresha amani somalia.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona hamuulizi kuhusu wale waziguwa wa Somalia?
   
 9. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la arab league wamefanya uarabu ni nchi yenye waislamu wengi na kiarabu kinaongelewa hata na kikundi kidogo cha watu.

  wasomali wanajuwa kuwa wao sio warabu na wengi wao wanajiita waislam waafrika,lkn kuendana na masuala ya kisiasa wamekuwa waarabu kwa sababu warabu wamewatawala na kuchangia mengi katika tamaduni zao.na kwann tanzania tusidai kuwa sisi ni waingereza kwakuwa tumetawaliwa nao na kuathiriwa nao katika masuala mengi ya maisha yetu?
   
Loading...