Mama na familia wazikwa hai na bomobomoa ya Madale

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya Madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi walipojifungia ndani ya nyumba yao ili kunusuru isibomolewe na askari polisi.

Habari hizi ni za kweli na za kuhuzunisha sana. Kama mwanahalisi lingekuwepo habari hii ingepatikana vizuri kwa kina. Inauma sana na huu sio uungwana haki yote ipatikane damu ya mama huyu na watoto wake ndio ililia na kuumbua wanahabari ambao hununuliwa.

Kamwe hatutanyamaza tutapaza sauti ulimwengu ujue hata kama polisi wameenda kuondoa ushahidi tutasema tuuuuuu. Mauaji ya mama huyu na ya watu wengine hayavumiliki.

inna lilay wailay lilay rajuun
 
du, ila baada ya mwandishi mwenzao kuuwawa na polisi, nafikiri ss waandishi wataanza kuripoti hbr za ukweli na wala c kutungwa, pole sn huyo mama na familia yake, kwa unyama huo, ila tuwekee picha 2amini na source.
 
Kama ni kweli hii habari ya kusikitisha, Utakuja kusikia kuwa CDM wanahusika.
 
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi walipojifungia ndani ya nyumba yao ili kunusuru isbomolewe na askari polisi. Habari hizi ni za kweli na za kuhuzunisha sana. Kama jmwanahalisi lingekuwepo habari hii ingepatikana vizuri kwa kina. Inauma sana na huu sio uungwana haki yote ipatikane damu ya mama huyu na watoto wake ndio ililia na kuumbua wanahabari ambao hununuliwa. Kamwe hatutanyamaza tutapaza sauti ulimwengu ujue hata kama polisi wameenda kuondoa ushahidi tutasema tuuuuuu. Mauaji ya mama huyu na ya watu wengine hayavumiliki.

inna lilay wailay lilay rajuun

Mwanaharakati kweli uko huru lakini sio uhuru wa kutudanganya watu wazima, sisi wakazi wa huku hatuna habari hiyo. MZUSHI MKUBWA
 
katika hili hatunabudi wanaharakati wa haki za binadamu na wanasheria kufuatilia haki ya kuishi ya familia husika
 
Uzushi mtupu, hamna kitu hapo. Inaonekana Mwanaharakati huru ni mvamizi wa hayo maeneo na ameamua kutoka na hii singo mpya isiyo na chorus wala melody baada ya ile ya mwanzo ya kuwatumia Haki za Binadamu kukosa mvuto kwenye jamii. Watu wa kituo cha haki za binadamu wasingeiachia issue kama hiyo kama ingekuwa na ukweli wowote, ukitilia maanani waliteua desk maalum chini ya dada mmoja aitwae leticia kufuatilia hiyo issue kwa karibu na hajaona kitu kama hicho. Na hii operesheni imefanywa kiprofesheno kwani hata ambulance ya wagonjwa ilikuwepo. Na navyojua mimi kabla ya kubomoa huwa check-up inafanywa na kama milango imefungwa basi hubomolewa kwanza na kama kuna mtu yupo ndani hutolewa kwa nguvu ndipo zoezi liendelee.
Mwanaharakati huru inaonyesha ni mfa maji anaetapatapa na kwa vyovyote amenufaika na huu uvamizi sasa mrija umekatwa haishi kulalama.
Huwezi dhulumu haki ya mtu na ukategemea kuishi kwa amani milele. Wale mabaunsa mliowauwa na wanawake mliobaka na kuwaambukiza virusi na watoto mliowabaka na kuwaharibu vizazi na kina baba mliowalawiti ili waache kuja kuona mali zao walizowekeza huko madale, Kinondo, Mbopo, Nyakalekwa, Nyakasangwe, Mabwe, na nk HUO UNYAMA MLIOFANYA MUNGU HATAWAACHA BURE! MTALIPA KAMA MUNGU ALIVYOAHIDI KUWA.. HATAMWACHA MWENYE HAKI AONDOSHWE MILELE!
 
Huyo mama alikuwa kiziwi? au alifanya ujinga akaingia kujificha bila kumjulisha kuwa yuko humo ndani ana protest.

Halima Mdee kalala? usitake kudanganya asubuhi yote hii.
 
Ngoja ntatupia clip za matendo ya hawa wavamizi hapa myaone. Unyama wa mauwaji ya kimbari na matendo yake yote wao wamekopi na kuyapesti hapa hapa tanzania. These guys are no humans... their action proves that!
Hamuna mtu mwrnye kamera?
 
Back
Top Bottom