Hospitali ya mkoa songea ni kituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali ya mkoa songea ni kituko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by peoples power, Sep 11, 2012.

 1. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sijawahi kuona na wala sikutegemea,nifika jana hapa hospitali ya mkoa songea jana usiku kumleta mgonjwa kitu tulicho kutana nacho nicha kusikitisha sana.kwa hospitali kubwa kama hii huwezi kuamini kuna daktari mmoja tu wa zamu sijui hii imekaaje,ni hatari sana kwa watanzania masikini.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani unamaanisha mkoa wa Ruvuma, ..au Hospitali ya mkoa, Songea(iliyoko Songea)..ila kulingana na mada, ni jambo la kawaida mbona, Wizara imepanga madaktari waliomaliza mwaka huu mikoani, labdaa watafika huko, lakini ungefika Muhimbili National Hospital(MNH) jana kupata majibu toka kwa W/Afya..lakini pia atakuwepo siku ya alhamisi Muhimbili Orthopedics Institute(MOI), labda watakao kuwepo waulizie suala la upungu wa watumishi(madaktari, wauguzi) n.k
   
Loading...