Ya mwangosi sawa ila tusisahau ya ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya mwangosi sawa ila tusisahau ya ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwinukai, Sep 10, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwasasa naona kuna kila dalili aliofanyiwa Ulimboka kupitwa na kusahaulika kutokana na hili la Mwangosi. Rai yangu ni kuwa licha ya kuibuka hili lakini imetupasa kushikilia pia la ULIMBOKA, Aliyeafanyiwa ukatili na Serikali hii ya CCM.

  tuanapaswa kuulizia kamati ya Ulimboka imeishia wapi?
  tunapaswa kujiuliza yule Mkenya aliyekamatwa kesi ile inaendeleaje?
  je Rama aliyetajwa na MWANAHALISI yupo wapi?

  Hatupaswi kuendeshwa na matukio, ni na rai yangu kuwa licha ya matukio ya Serikali hii dhalimu ni mengi lakini hii sii busara hata kidogo kusahau matukio ya nyuma. kwani kuendeshwa na matukio kumetufikisha hapa tulipo. TUENDELEE NA MWANGOSI ILA TUSISAHAU YA ULIMBOKA.
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Ulimboka alitoa kauli ya kuwa ni yeye tu anaeujua ukweli na alisema apewe muda apumzike....bado anaendelea kupumzika( mapumziko yake yatachukua mwaka mmoja)

  Anasubiria muda muafaka kuelezea ukweli.

  Ulimboka ametuingiza mjini!!!!

  Mimi huyu ulimboka ameniacha hoi. Mnakumbuka ile video aliyoweka invisible Ushuhuda wa Dr. Stephen Ulimboka - YouTube hapa anazungumza akiwa katika hali mbaya. Amerudi amesema yuko "fit" lakini hazungumzii sakata lenyewe.

  Dr. Ulimboka akizungumza na MMM dakika chache baada ya kutekwa na mateso - YouTube

  Ukisikiliza hiyo ya pili , ndio utajua kuwa Dr. Ulimboka ametuingiza mjini....Aliweza kuzungumza alipokuwa hoi lakini hawezi kuzungumza akiwa "fit"

  Tunaendelea kusubiria huo muda mwafaka utakapofika kama utafika.

  Dr. Ulimboka tunakutakia mapumziko mema lakini usisahau ulitoa ahadi ya kusema ukweli juu ya sakata la Ulimboka.
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Naona wamewashupalia na kuwashughulikia mashemeji zangu...........

  Dr. Mwakyembe
  Prof. Mwaikusa
  Dr. Ulimboka
  Mpiganaji Daudi Mwangosi

  .....daaahh
   
 4. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu! umemsahau Prof Mwandosa?
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Daah...umenikumbusha aisee......kuna yule Jaji mwingine...Mh. Jaji Mwakasendo......Jaji Mwakibete.....daah na yule aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazazi CCM Mh Mwaikambo.............daah..........na yule aliyekuwa Waziri wa Fedha...Mh. Stephen A. Kibona...duuhh
   
Loading...