Dawasco kutuma bill ya maji kwenye simu kwa wakazi wa kimara/mbezi ni uchukozi au utani?

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Mimi ni mkazi wa kimara temboni, huu ni mwaka wa tatu sijawahi kupata hayo maji tunayoita ya mchina. Ajabu kila mwezi dawasco wamekomaa kutuma bill najiuliza wananichokoza au wanafanya utani.
Dawasco acheni huo us#*ge!
 
Back
Top Bottom