Malipo mbalimbali yakwama hazina na ofisi za serikali zakwama kutokana na malipo hayo kukwama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo mbalimbali yakwama hazina na ofisi za serikali zakwama kutokana na malipo hayo kukwama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bamwaiche, Sep 11, 2012.

 1. b

  bamwaiche Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wizara ya fedha imejikuta iko kwenye wakatai mgumu baada ya malipo mbalimbali ya kuendesha ofisi za serikali kukwama kutokana na kuingiza mfumo mpya wa malipo. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mzabuni huyo mweye kusupply mfumo inasemekana kuwa aidha hana utalaam nao au watumishi wa wizara nao hawana utaalamu nao. Na hii ni moja ya sababu ambazo zinasabaisha kero kwa watumishi wa umma na kwa taifa kwa ujumla. Na haya ndiyo ma=mabao ya ten percent yanavyoweza kuharbu nchi na hatimaye maendeleo ya taifa kurudi nyuma. Tangu malipo haya yamekwama hadi leo ni karibu wiki mbili sasa. Kwa jinsi hiyo ofisi za serikali zinaendeshwaje sasa? :flypig:
   
Loading...