Wizi wa Bandarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa Bandarini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by uwemba1, Sep 10, 2012.

 1. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  Inasemekana Bandarini DSM kumetokea wizi wa container la shaba ambapo walinzi walifanikiwa kulikamata na baadhi ya wezi wakiwamo police kadhaa (Idadi na majina) Kwa sasa reserved coz cjawa na Uhakika xana so sio vema Kwa sasa, but kati ya wezi waliamua kumteka mlinzi mmoja kati ya waliolikamata container wakati
  Anatoka kazini na kulazimisha wenzao watolewe mahabusu ili aachiwe bahati njema kijana mafunzo ya JKT yamemsave alipofika Sao hill forest (Mafinga) akafanikiwa kuwatoroka watekaji wale na Kwa sasa anahifadhiwa Mafinga JKT. Naifuatilia ikikaa vema nitaiweka mpk majina.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,331
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha!unabana majina wakati tayari waziri kisha weka hadharani majina yote!!!!
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  aliyetekwa anaitwa Fyzulu huwa yupo kwenye patrol hapa bandari
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Bandari ya Dsm kumbe iko Mafinga Iringa? Ndo najua leo!!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Ahaaaa! Kumbe na wewe ni Mkuli eh? Niko kwenye msako wa kuwajua wafanyakazi wa bandari wanaokesha JF badala ya kufanya kazi. Nje kuna foleni ya meli na malori nyie mnapoteza muda JF.
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asprin hujui kuwa bandari inatembea?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh!Ufuatiliaji unaendelea sio?
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wizi umetokea bandarini?!!, mateka katorokea saohill?!
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida. Lazima niwakamate.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa hata mie nimeshangaa labda tu-assume container limeibwa dsm port wakalisafirisha wezi na hatimaye wakalikamata huko mafinga.
   
 11. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Safi sana mpaka iwe bandari ya kwanza kwa ufanisi. Walilala sana Mkuu.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Ni Guest House iko kurasini shimo la udongo
   
 13. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  naomba sigara nivute
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kubainika kwa wizi huu kumezidi kupigilia msumari kwenye madai kuwa polisi wetu ni wezi wa kawaida waliovaa uniform wakiiba na kuua watu wasio na hatia. Je wameamua kufanya hivi baada ya kugundua kuwa Tanzania imegeuka taifa la majambazi hasa wenye nafasi kama madaraka au ajira katika ofisi za umma/ Je hawa wakulima wasio na nyadhifa tunawapeleka wapi? Nchi yetu imekuwa ya ajabu chini ya utawala wa kisanii na kifisadi wa CCM. Wakati wa kuing'oa CCM ni huu.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilivyosikia mimi kuwa ni mtandao wa wizi wa mafuta na shaba na watu 14 wamekamatwa kuisaidia polisi na uchunguzi unendelea, kwa mujibu wa Kamanda Suleiman Kova - Taarifa ya habari ya saa 1 usiku, channel 10.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Miongoni mwa hao 14 waliokamatwa kuisaidia "polisi" ni "mapolisi".

  Mapolisi kuisaidia Polisi. Kudadadadeki!!
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulitaka wasikamatwe?
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Siyo wakamatwe tu, nlitaka watiwe shaba za uso. Huu wizi bandarini umesababisha matatizo kwa watu wengi sana, wengine ambao hawahusiki kabisa. Watu wamefukuzwa kazi na wengine wamefungwa kwa kusingiziwa wizi kumbe mtandao wenyewe hata polisi wanahusika. Mafi yao!!
   
Loading...