Hivi mobile phone mpaka huku?!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Niliingia kwenye gents ya supermarket moja na kusikia jamaa akiwa kwenye 'cubicles' za call ndefu huku akizungumza na simu ya mkononi. Hivi hizi simu kuitwa 'mobile' maanake ni sehemu zote waweza kupiga na kupokea simu? Je, huu ni ustaarabu kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom