Jana I.G.P S.Mwema alisambaza waraka kwa ma-RPC wote Tz nzima kuwataka waitishe "MABARAZA YA ASKARI" ktk mikoa yote,lengo likiwa ni kutathimini mwenendo wa Jesh la polisi dhidi ya raia...
Uchaguzi ndani ya CCM utafanyika ngazi ya Wilaya nchini kote 29/09/2012. CCM imeandika barua kwa polisi ikiwaambia kwamba siku hiyo ya uchaguzi watatumia MALORI, PIKI2, MATREKTA, MAKWAMA, MABASI...
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwauliza baadhi ya watu wenye dhamana kama akina January Makamaba na baadhi ya wabunge waliomo humu kwenye jamii Forum kuwa kwa nini wanaiacha nchi inaenda pabaya na...
Ndugu zangu,
Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo...
Increasing human activities and other anthropogenic factors on the Kenyan side of the Serengeti eco-system may cause the annual migration of Wildebeests to stop going into Kenya's Maasai-Mara in...
Kumekuwa na baadhi ya bodaboda zinaliza alarm(ving'ora/ving'ola) kama vile vya polisi au ambulance, hivi swala hili ni sawa? Kama si sawa mamlaka zinazohusika zinasemaje?
Nawasilisha.
Tangu saa mbili nasikia ving'ora kama ya fire na imedumu sana! Na nimejaribu kuwapigia mabest hapo mtaa wa barabarani nao wakidai bila shaka ni janga la moto na kama kuna mwenye news ya hili...
Katika mgogoro wa kugombea kisiwa baina ya Japan na Uchina, makampuni ya Panasonic na Canon yamefunga shughuli zake kwa muda... haya na tujiandae kuwa na Innovation center zetu kwa maana...
Wadau!
Nimetafakari hili kwa muda mrefu lakini pia ni vema nikaona tushirikiane katika kufahamishana zaidi. Ukiitazama dunia ya leo tunaelekea katika KUTOAMINIANA, ikiwa zamani watu walikaribisha...
Wakati serikali zingine zikiwakusanya na kuwasikiliza wasomi walio kwenye field,serikali yetu inafanya juhudi zote kuhakikisha wanagawanyika na kutokuwa na msimamo wa pamoja kwa ajili ya yale...
Angalieni namna waandishi wa habari wanavyoanza kusalitiana kuhusu misimamo yao ya kususia habari za kipolisi baada ya kifo cha mwangosi. Nimeikuta hii Tanzania Daima...
Nyumba inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Dalali hatakiwi katika zoezi hili. Unaweza tuma picha...
Kufuatia kifo cha Mwangosi dk. Lwaitama amesema haiwezakani mwandishi wa habari ukawa in btn . ni either unakuwa kny kusimamia haki au kwny ukandamizaji na si vinginevyo.Amedai kuwa waandishi wa...
A financial news service has compiled a list of the world's ten poorest countries based on data from the World Bank.
By Sanskrity Sinha: Subscribe to Sanskrity's RSS feed
September 15, 2012 11:35...
Mallya Prosper
about an hour ago near Dar es Salam ·
kuwa makini TAHADHALI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA DALADA JIJINI DAR
JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO...
Katika mwendelezo wa mbinu chafu la jeshi la polisi wakishirikiana na watawala katika kufunika au kutaka kujinasua kutoka katika husika wa kifo cha Daudi Mwangosi.
Mbinu mbali mbali zimepangwa...
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa.
Nataka kuwashirikisha jambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao. Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili...
katika habari kwa kina ya leo tarehe 16/9/2012 star tv wameonesha habari iliyohusu historia ya maisha ya mwigulu mchemba tangu alipozaliwa akiwa mtoto wa mfugaji na baadae alipoenda shule ya...
Walioishi kabla yetu walipata kunena hivi Mwenzako akinyolewa, zako tia maji. Mwalimu mzuri kuliko wote ni jamii maana namna watu ndani ya jamii wanapopambana na matatizo mbalimbali ni somo tosha...
Ofisi ya kuuzia maji ya dawasco imegeuzwa duka la spea maeneo ya kinondoni,na alipotafutwa m/kiti wa mtaa amedai kutofahamu mmiliki wa duka-
itv habari za saa mchana huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.