Wanasiasa wote wana lengo la vyama vyao na mitizamo yao.
Jamii forum iwe na kipengele cha kuwakosoa na kuwashauri wanasiasa hata wanajamii forum wenyewe.
Kiongozi au mwanasiasa asiyekubali...
Wanajamvi kuna mtu kanitonya kuwa kuna jengo ndani ya chuo kikuu cha Dodoma linawaka moto hivi sasa. Ninaendelea kufuatilia ukweli juu ya swala hili na ninaomba kama kuna mtu mwingine mwenye...
Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila...
Miezi ya nyuma (kabla ya mwezi huu) , nilikuwa nikinunua umeme wa 5,000 (units 15) nakaa nao siku mbili. Lakini baada ya kuingiza Key Change Token, umeme uleule wa 5,000 unaisha kwa siku moja na...
Britain's Most Expensive Home: £300m Hyde Park Mansion Belonged to Lebanon's late PM Rafiq Hariri
By Toyin Owoseje: Subscribe to Toyin's RSS feed
September 13, 2012 12:37 PM GMT
This £300m...
Kwa wale tunaofuatilia vipindi vya BBC idhaa ya Kiswahili ,amka na BBC na dira ya dunia mtakuwa mme note tofauti ya kipindi cha kisa na mkasa cha Jumamosi asubuhi baada ya kuondoka Salmu Kikeke...
Rais wa umoja wa vyama vya waandishi wa habari Tanzania UTPC Keny Simbaya ameshindwa kuwashawishi waandishi wa habari wa mkoa wa iringa kuandika habari za wiki ya nenda kwa usalama barabarani...
This is the song of peace
It aims at all S.O.B's and D.O.B's
You guys in fatigues
With your totting guns
Trigger happy as you always are
You the killing machines,
You who violate peace
You who are...
check out this email guys...hawa watu bado wana mambo ya kizamani tu..
Please Reply Me With Honesty
I sent you this email about two weeks ago and i got no response, so i am constrained to...
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige ametangaza kuliuza nyumba yake aliyoinunua katika eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa dola za Marekani 410,000 (takriban sh 700...
Union President Dr. Jakaya Kikwete has directed mayors in Dar es Salaam city municipalities and executive directors to properly realign and name the streets in the various suburbs to pave the way...
A vigilante mob in Guatemala took deadly revenge against a man who authorities said killed two children at a primary school.
Interior minister Mauricio Lopez Bonilla said a drunken Julio Saquil...
Magazeti jana yameripoti kuwa serikali imeridhia matumizi ya GMO, huku ikisema kuwa nchi kama marekani, south africa na nyingine tayari wanatumia teknolojia hiyo. Hivi na ardhi yenye rutuba...
Heshima mbele wakuu. Nimeshangazwa na drama ya mapolis wa iringa pale mahakamani. Polis mwenzao walikuwa wamemzingira huku wakizuia asipigwe picha na waandishi wa habari. Hakika action walizokuwa...
Mwaka huu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yataadhimishwa rasmi mkoani Iringa kuanzia tarehe 17 hadi 22 Septemba. Kauri mbiu ni "Pambana Na Ajali Za Barabarani Zingatia Sheria"...
Wakuu naomba kupatiwa latest updates kama kuna uwezekano wa kupata fao langu la NSSF baada ya kuacha kazi. Nakumbuka serikali dhaifu ilikuja na hoja dhaifu eti ni mpaka nitimize miaka 55 and above...
Kwa sheria za kijeshi, askari wa chini kicheo au aliyechini ya Kamanda wa Oparesheni haruhusiwi kutumia silaha yake hadi apokee amri ya kamanda wake ya kutumia silaha hiyo. Sio hivyo tu, askari...
Hivi karibuni nilipoke sms inayosema kuwa ukiongeza vocha ya Tsh 5,000.00 utapewa mara tatu,nilitekeleza na nikapata sms badae kidogo inasema nimepata Tshs 15,000.00
lakini itatumika kupiga simu...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ameitisha kikao kesho tarehe 15/09/2012 na wafanyabiashara wa mahoteli na nyumba za kulala wageni wa manispaa ya Morogoro katika ukumbi wa Rombo White Bar kuanzia saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.