Habari mvunjiko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
Katika mgogoro wa kugombea kisiwa baina ya Japan na Uchina, makampuni ya Panasonic na Canon yamefunga shughuli zake kwa muda... haya na tujiandae kuwa na Innovation center zetu kwa maana wakisimama jumla zi-photocopy zetu zitakuwa mapambo! maana bei ya spea itazidi bei tulizonunulia.

Waandamanaji wa kichina wanapiga mawe viwanda vya wajapan..

Source:

Beyond Beijing | CRIENGLISH

china island dispute spurs anti-japan-protests/china_protests

hapa ndipo tunapaswa kujutia Philips Arusha na Matsushita Dar es Salaam. Leo nchi haina hata kiwanda kimoja cha electronic!! Afadhali hata Waganda wana Sembule yao! Miaka 50 ya UHURU TUNAJIVUNIA.......!!!!!!!!!!!!!!!
 
hii habari ipo tangu asubuhiiiii, sio breaking news tena. ulikuwa wapi mzee?.....hata hivyo, sidhani kama watafunga moja kwa moja kwasababu inavyoonekana kuna sabotage ya wachina wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo hivyo wamesimamisha ilikufanya uchunguzi wa fanyakazi hao. pia, wanaweza kuinvest hata huku kwetu.....waje tz au kenya, Rwanda etc wawekeze....tuwakaribishe badala ya kuwekeza kwenye nchi ambayo ni adui yao mkubwa kuliko wote...hata hivyo...sidhani kama watafanya kosa kubwa kama hilo, ili bidhaa yao ionekana "MADE IN TANZANIA: .a...hahaha, sijui mtu gani wa ulaya na mashariki atanunua iyo kwa bei zile za ulaya.
 
duh! labda ndo natoka usingizini si unajua tena siku hizi ulinzi shirikishi!
yeah kimaneno ni adui yao mkuu lakini kivitenda ndio mshirika wao mkuu ki-uwekezaji!! Hizi nchi zetu hawjaziamini sana kwa sababu hawana hakika kama mtawala watakayemuweka atakaa madarakani muda mrefu, si unaona hata kwa Museveni hawajawekeza na ndie kipenzi chao!!
 
Back
Top Bottom