Askari aliyemuua Mwangosi achongewa 'birth certificate' feki

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Katika mwendelezo wa mbinu chafu la jeshi la polisi wakishirikiana na watawala katika kufunika au kutaka kujinasua kutoka katika husika wa kifo cha Daudi Mwangosi.

Mbinu mbali mbali zimepangwa kutumika:
1. Kumtorosha askari aliyehusika mbinu hii ikipangwa kufanywa na askari wenzake kwakile wanachodai mwenzao kuonewa bila wakubwa kama kamuhanda na Mwema kupandishwa kizimbani wakati dogo alikuwa anatekeleza maagizo
2. Askari aliyehusika bw. Pasificus Cleophace Simon, kabila - Mhaya ametengenezewa cheti feki ambacho kinamtambulisha kwa jina la Kacian Aphonce Mapila, kabila - Mhehe!
3. Kuhujumu wajumbe wa kamati ya waziri nchimbi wameanza kwa kuwasuprise Makunga na Ihema.

CHANZO: Tanzania Daima

My take:
Haya yote yanayofanyika yanafanyika kwa faida ya nani? Huu usikivu wa serikali ya CCM upo wapi? Nahisi kilichotokea kwa kesi ya Zombe cha weza tokea hapa huyu dogo atatoroshwa then kamuhanda atapandishwa kizimbani siku ya huku jaji atadai wamlete aliyeua kitu ambacho kitakuwa kigumu.
 
inasikitisha wahehe na sifa zao zooote za ujasiri kwenye hili wamekua kama kuku aliyenyonyolewa manyoka

kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Katika mwendelezo wa mbinu chafu la jeshi la polisi wakishirikiana na watawala katika kufunika au kutaka kujinasua kutoka katika husika wa kifo cha Daudi Mwangosi.

Mbinu mbali mbali zimepangwa kutumika:
1. Kumtorosha askari aliyehusika mbinu hii ikipangwa kufanywa na askari wenzake kwakile wanachodai mwenzao kuonewa bila wakubwa kama kamuhanda na Mwema kupandishwa kizimbani wakati dogo alikuwa anatekeleza maagizo
2. Askari aliyehusika bw. Pasificus Cleophace Simon, kabila - Mhaya ametengenezewa cheti feki ambacho kinamtambulisha kwa jina la Kacian Aphonce Mapila, kabila - Mhehe!
3. Kuhujumu wajumbe wa kamati ya waziri nchimbi wameanza kwa kuwasuprise Makunga na Ihema.

CHANZO: Tanzania Daima

My take:
Haya yote yanayofanyika yanafanyika kwa faida ya nani? Huu usikivu wa serikali ya CCM upo wapi? Nahisi kilichotokea kwa kesi ya Zombe cha weza tokea hapa huyu dogo atatoroshwa then kamuhanda atapandishwa kizimbani siku ya huku jaji atadai wamlete aliyeua kitu ambacho kitakuwa kigumu.

Mkuu mimi tangu nione ile orodha ya vigogo walioficha mabilioni nchini uswisi iliyowekwa hapa jf jana, ingawa baadae mods waliiondoa kwakweli sina imani kabisa na viongozi wote wa serikali kwani hata mkuu wa kaya na IGP ni miongoni mwa majina yaliyokuwa yametajwa.Majina yale ni ya kukatisha tamaa kabisa kwani yanahusu polisi,takukuru na vigogo wengi sana serikalini.

Watanzania tutambue tu kama ile orodha ni ya kweli kama alivyodai alieianzisha basi tusitarajie tuna viongozi waadilifu watakaotenda haki.Huyu polisi anaweza tu kutolewa kafara bila hatua yoyote kuchukuliwa kwani wanaounda hii serikali si viongozi bali ni wala nchi.
 
nilisema mapema tuweni makini sana na hawa polisi maana chochote cha weza fanyika ili kufunuka ukweli hata umri wa huyu dogo ninamashaka nao sana
 
Nilishasema kwamba ukitaka mambo haya yote yaishe ondoa ccm madarakani kwa kura maana wao ndio baba wa yote haya madudu
 
Habari ni kwamba, hukumu ya huyu mtuhumiwa (naomba nimuite muuaji), itakuwa clouded na ushahidi wa kuchonga (INSANITY) na marafiki wa mahakama watathibitisha hilo
 
rpc kamuhanda ni mhaya. Kumbe na huyo askar aliyeua naye mhaya. Patamu hapo
 
Mkuu mimi tangu nione ile orodha ya vigogo walioficha mabilioni nchini uswisi iliyowekwa hapa jf jana, ingawa baadae mods waliiondoa kwakweli sina imani kabisa na viongozi wote wa serikali kwani hata mkuu wa kaya na IGP ni miongoni mwa majina yaliyokuwa yametajwa.Majina yale ni ya kukatisha tamaa kabisa kwani yanahusu polisi,takukuru na vigogo wengi sana serikalini.

Watanzania tutambue tu kama ile orodha ni ya kweli kama alivyodai alieianzisha basi tusitarajie tuna viongozi waadilifu watakaotenda haki.Huyu polisi anaweza tu kutolewa kafara bila hatua yoyote kuchukuliwa kwani wanaounda hii serikali si viongozi bali ni wala nchi.

kwanin mods waitoe hyo list? I wish kuiona.
 
Mkuu nilichelewa kuipitia hiyo list mood walishaitoa unaweza ni PM hiyo list mkuu wangu kitu kizuri kula na nduguyo!
 
Bado sijaelewa mantiki ya jina la kihaya kubadilishwa na kupewa jina la kihehe!!!

Mkuu hilo lina mchango mkubwa sana kwenye ulimwengu wa ushahidi....utashangaa jamaa anaruka kuwa siyo yeye na vyeti vitaprof otherwise
 
nilisema mapema tuweni makini sana na hawa polisi maana chochote cha weza fanyika ili kufunuka ukweli hata umri wa huyu dogo ninamashaka nao sana

Mwanaweja yote yanamwisho haya yanayotokea sasa ni ishara ukomo wa ujinga wao
 
Mkuu mimi tangu nione ile orodha ya vigogo walioficha mabilioni nchini uswisi iliyowekwa hapa jf jana, ingawa baadae mods waliiondoa kwakweli sina imani kabisa na viongozi wote wa serikali kwani hata mkuu wa kaya na IGP ni miongoni mwa majina yaliyokuwa yametajwa.Majina yale ni ya kukatisha tamaa kabisa kwani yanahusu polisi,takukuru na vigogo wengi sana serikalini.

Watanzania tutambue tu kama ile orodha ni ya kweli kama alivyodai alieianzisha basi tusitarajie tuna viongozi waadilifu watakaotenda haki.Huyu polisi anaweza tu kutolewa kafara bila hatua yoyote kuchukuliwa kwani wanaounda hii serikali si viongozi bali ni wala nchi.

Mkuu nasikitika hiyo orodha ilinipita!!!
 
Haiwezekani kitu kama hicho,hizi ni propaganda tu.polisi ndio waliomkamata wakampeleka mahakamani,wangetaka kupindisha wasingemfikisha mahakamani,wangemtorosha huko huko mitaani
 
Mkuu nilichelewa kuipitia hiyo list mood walishaitoa unaweza ni PM hiyo list mkuu wangu kitu kizuri kula na nduguyo!

ulisomea shule gani wewe unaetia aibu namna hii,mood ni kitu kingine na mods ni kitu kingine.chukua dictionary ujielimishe mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom