Ruhusa ya kuvunja sheria: Katibu CCM kwa polisi kuwa itatumia malori

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
112
Uchaguzi ndani ya CCM utafanyika ngazi ya Wilaya nchini kote 29/09/2012. CCM imeandika barua kwa polisi ikiwaambia kwamba siku hiyo ya uchaguzi watatumia MALORI, PIKI2, MATREKTA, MAKWAMA, MABASI nk kusafirisha wajumbe kwenda maeneo ya kupigia kura na kwamba WASIBUGHUDHIWE. Kama inavyofahamika ni kuwa vyombo kama MALORI, MATREKTA na MAKWAMA haviruhusiwi kwa mujibu wa sheria (ROAD TRAFFIC ACT, 1975) kusafirisha mabiria bali mizigo. MASWALI ni je, polisi wataruhusu uvunjifu huu wa sheria utendwe na CCM? Je, kama ingekuwa ni vyama vingine vya siasa hali ingekuwaje? Je, kuna haki hapo? JE, kunaweza kukawapo amani bila usawa ktk jamii? Je, polisi haipaswi kutii sheria bila shuruti? nk
 
Kwa kuwa ni barua tu ndio imeandikwa, subiri mpaka watakapokubaliwa ndipo uanze kulaumu.
 
Chama twawala, miaka zaidi ya 35 Chaguzi hizi zimeendelea kufanyika na siku zote wanasafirisha wanachama wao kwa Malori, Makwama, Matreka.

....labda tuwape miaka mingine 35 ijayo ili waanze kutumia Mabasi.... Its shame!!!
 
Back
Top Bottom