Ofisi ya DAWASCO kinondoni yageuzwa duka la spea

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
Ofisi ya kuuzia maji ya dawasco imegeuzwa duka la spea maeneo ya kinondoni,na alipotafutwa m/kiti wa mtaa amedai kutofahamu mmiliki wa duka-
itv habari za saa mchana huu
 
Ofisi ya kuuzia maji ya dawasco imegeuzwa duka la spea maeneo ya kinondoni,na alipotafutwa m/kiti wa mtaa amedai kutofahamu mmiliki wa duka-
itv habari za saa mchana huu
Kama Japenga sio.
 
Hizi ofisi za serikali na mshirika ya umma mbona ndo zao!, hata jengo la fremanson pale sokine drive kuna jamaa anauza soda kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom