Ving'ora tangu lisaa limoja nasikia barabara ya Arusha Nairobi! Kuna nini wajameni??

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Tangu saa mbili nasikia ving'ora kama ya fire na imedumu sana! Na nimejaribu kuwapigia mabest hapo mtaa wa barabarani nao wakidai bila shaka ni janga la moto na kama kuna mwenye news ya hili atujuze jamani!

Ni hilo tu wadau!
 
................duuuh ! lisaaa limoja, ni kubwa aje ?
 
Hata mie nimekutana na gari la fire liko speed kweli!!Lazima kuna mahali pameteketea!!!
 
Watakuwa wanaenda Longido hiyoo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom