...nawakumbusha waandishi wenzangu tuache kuongea sana bila kutenda na kujifunza. Tuongee na kuandika kwa kuwa na vielelezo ambavyo mwisho wa siku vitaisaidia mahakama kuwatia hatiani watuhumiwa...
Monday, 17 September 2012
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato...
Wanajamii, muda si mrefu kulikuwa na kipindi ITV wakimhoji Ernest Sango kamanda wa polisi kutoka mkoa wa pwani, juu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Pamoja na mambo mengine...
Wana jf,habari,
nimepata taarifa ambazo bado naziita tetezi, kwa kuwa sijazichunguza, kuwa tume ya vyuo vikuu ikishirikiana na baadhi ya vyuo vikuu wanapeana mlungula ili wawapeleke wanachuo wengi...
Jioni hii wakati nikiangalia taarifa ya habari, ilifuatia habari iliyomwanyesha Askf. Malasusa aliyeonekana alikuwa akiulilia utawala wa sheria!!
Nikajiuliza mara moja, Je, anaweza kutuambia...
Akichezesha Taya na BBC, Luten generali kaiula alisema kwamba askari wenye vitambi hawapo physically fits so wamewawekea fitness center kwa ajili ya exercises kwa wale ambao wataonekana kuzembea...
Na Stephano Mango, Songea.
MGOGORO mkubwa umeibika kwa waandishi wa habari mkoani Ruvuma baada ya Viongozi wa chama cha waandishi wa habari mkoani humo kutoitisha maandamano na kuingia mafichoni...
Ungawa siku zimepita lakini ni vuzuri kuendelea kukumbushana, najua kuwa mengi mabaya yamefanyika lakini jambo hili ni zito ingawa watu wengi uchukulia rahisi.
Katika serikali ya hawamu ya tatu...
Yanapelekwa kimya kimya, hakuna anayehoji, hakuna mwenye habari ya nini kinaendelea. Majibu ni yale yale "tunasubiri matokeo toka tume ya uchunguzi" kama sio "swala lipo mahakamani halijadiliki"...
Wawe askari wa barabarani, polisi, mgambo na hata baadhi ya wanajeshi; pahala pengi unapokutana nao, wanavitambi. Hivi hii inaleta taswira gani kwa jamii yetu?! Tumeridhika sana, taifa lilozembe...
Ndugu wana jamvi, hivi majuzi nilisafiri na basi la Sumry lililokuwa linatoka Arusha kuja Mbeya. Tulipoondoka Morogoro, alipanda mtu mmoja aliyevaa nguo za Jeshi (bila shaka ni mwanajeshi...
kuna tetesi kuwa RC wa mkoa wa Tanga ametumia cheo chake vibaya na kumdhalilisha mganga mkuu wa wilaya moja ya mkoa huo.
Haya yametokea wakati RC huyo akifanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya...
NASHKURU KWA KUICHIMABA HII BARABARA KLAKINA NAONA BORA WANGEIACHA KAMA ILIVYO KUWA KWANI VUMBI LINALIOTIBUKA KWENYE HII BARABAR SIO MCHEZO MM NADHANI SIO UUNGWANA KWANI ILICHIMBWA NA HALMASHAURI...
Political partisans delight in labeling opposition leaders as malign or even psychopathic but it turns out that U.S. presidents with high levels of certain psychopathic traits may actually do...
Ndesanjo Macha ameibuka mshindi katika mashindano yaliyoendeshwa na Highway Africa http://www.highwayafrica.com/ .
Ushindi huo ameupata kutoka katika taasisi inayoheshimika sana duniani na ni...
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi...
.
Posted: 14th September 2012 by MillardAyo in News
3
Marehemu Daudi Mwangosi.
Ikiwa ni siku moja tu baada ya kufikishwa Mahakamani kwa askari polisi anaetuhumiwa kwa mauaji ya mwandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.