Star tv na habari kwa kina....wameishiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv na habari kwa kina....wameishiwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Sep 16, 2012.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  katika habari kwa kina ya leo tarehe 16/9/2012 star tv wameonesha habari iliyohusu historia ya maisha ya mwigulu mchemba tangu alipozaliwa akiwa mtoto wa mfugaji na baadae alipoenda shule ya msingi na safari yake ya kisiasa mpaka wakati huu anapokula maisha kama mheshimiwa mbunge. Makala hiyo imeripotiwa na mwandishi wa star tv magreth tengure aliyesafiri umbali wa kilometa 35 kutoka Iramba Mjini kuelekea kijijini kwa mwigulu mchemba kufanya nae mahijiano. Star tv wanasema vijana wengi siku hizi wanapenda mafanikio ya haraka bila kuvuja jasho lakini hali hiyo ni kinyume na mwigulu mchemba aliyevuka milima na mabonde mpaka kufikia maisha ya mafanikio aliyonayo sasa. Jambo la kujiuliza, kulikoni star tv wakachoma mafuta kwa umbali mrefu kiasi hicho kwenda kuhoji maisha binafsi ya mwigulu na mafanikio yake?????? nahisi kuna siasa ndani yake sio bure. Naamini kuna masuala mengi sana hapa nchini yanayoweza kuwapa star tv habari kwa kina zenye tija kwa watanzania kuliko kutupatia historia ya mtu binafsi ambayo kimsingi haitusaidii lolote.
   
 2. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  usikonde mkuu next week ni zamu ya historia ya zito kabwe then mtatiro.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nami nimeona japo sikuchukua muda nili-tune kituo kingine maana niliona ni upu-uuzi tu kupata habari eti kwa kina ya migulu machemba!!!! Jamani, hivi kweli Startv imekosa jambo muhimu la kutangaza kiasi cha kumweka machemba!!!
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hata ya DR H. KIGWANGALA waliifanya mm nawapa Big Up Star tv
   
 5. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  amelipia kusafisha nyota
   
 6. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda hicho kipindi unakilipia ndo wanakuonyesha. Nawapongeza kwa ubunifu sababu ukitaka pesa za nje nje wapo wakina Mwigulu wanataka kusafisha nyota watakuja tu. Na baadae utasikia Mamvi, Tendwa, Saidi Mwema, Kamuhanda, etc
  Cha msingi hapa hawa watu wajue kuwa majina yao yako blacklisted. Hakuna sabuni ya kuwasafisha
   
 7. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,177
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  Mwigulu Nchemba yule yuleee wa mambo flani ya ugoni.
  Mwandishi mwenyewe jinsia yake ni hamasa kwa Mwigulu. Mwigulu Nchemba mwigulu nchemba mwigulu chembe bado ninaendelea kuripoti. Safi sana Mwigulu staili mpya hiyo utawamaliza wote!!
   
 8. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...startv kuna tofauti gani kati hiyo habari yenu kwa kina ya leo na kipindi chenu cha siasa na uchumi?...kuweni makini coz tumekuwa tukiwapigia upatu ya-kwamba star-tv mmekuwa mkitangaza habari zisizo na upendeleo kwa kiasifulani,lakini sasa mmeanza kupotoka...
   
 9. m

  mbeseu New Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That's completely nonsense . Very Cheap popularity creation
   
 10. m

  masluphill Senior Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ukiwa mtumwa shida.
  *
   
 11. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  wkt wanaanza kipengele hiki kilikuwa wanaangalia masuala ya kijamii sana, kama ndo hvyo wameanza kuchanganya habari kwa kina na hisoria za wanasiasa, basi wamelewa sifa.
   
 12. m

  mwanamfipa Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mim mwenyewe jana katika kipindi za medani ya siasa na uchumi nilisononeka sana kuona hawa ndugu zetu wa star tv walivyopotoka...eti walikuwa wazungumzia historia ya Tizeba,mara Ndugai yani hadi kichefuchefu basi kama wamechoka wakibadili jina wakiite historia za wanasiasa
   
 13. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Yote haya ni ubunifu mdogo wa mwenesha kipindi Magreth Tengule. Ungekiona kipindi cha Medani za siasa na uchumi kilichendeshwa na huyo mama utagundua kwamba Magreth hazingatii ishu sa siasa ila ishu za kibinafsi tu. Maswali mengi alokuwa akimwuuliza Charles Tizeba kwenye kipindi ni:"Je ulijisikiaje ulipochaguliwa....." na maswali mengine ya aina hiyo ya kufahamu hisia za mtu. Ndio maana kamfungia Mwigulu Nchemba safari mpaka Sekenke ili afahamu hisia zake.

  Magreth Tengule ni mtangazaji wa hisia za watu tu, hajui kingine! Alienda mpaka kwa mkewe Mwigulu, aitwaye Neema ili apate hisia zake kuhusu maisha ya mumewe. Na mama kaeleza yooote ....... ya ugoni ..........na nini sijui.
   
 14. C

  COSTOMER Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naamini kwa maana ya kipengele hicho kuanzishwa kilikuwa na lengo la kuibua changamoto na mwangaza wa nini cha kufanya juu ya changamoto hiyo ama kundi fulani la jamii mfano.watoto wa mitaani, ukosefu wa maji,kupanda kwa bei ya bidhaa etc..... wala si urefu ama kumprofile mtu kama kipindi cha UWA LETU CHA TBC1 kilichoanzishwa na Suzan Mungi ambacho hivi sasa hakionekani sijui alichoka.....naamini kwa mwanzo ule mngefanikiwa sana Star si vinginevyo.
   
Loading...