Nyumba ya kupanga inahitajika Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga inahitajika Morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Sep 17, 2012.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nyumba inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Dalali hatakiwi katika zoezi hili. Unaweza tuma picha ya nyumba hiyo na maelezo ya kina yatahitajika. PM me so that I can hook you to the appropriate person.
   
 2. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  karibu jamvin!ngoja tukujulishe tunalo jukwaa la matangazo humu ndani hilo ndilo tunatumia kutangaza kila kitu.ugeni bwana lakini utaelewa tu!
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Iko moja hapo msamvu karibu na stendi.fenced,full tiles, 4 room(2 master bedroom), big living room, kitchen, in door garage, etc,etc. Contact owner 0756 285624:
   
Loading...