Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maggid, Sep 6, 2012.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu,

  Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.

  Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi.

  Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.  Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.

  Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.

  Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
  Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.

  Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.

  Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

  Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
  Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.

  Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
  Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.

  Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.

  Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.

  Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.

  Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.

  Namna ya kuwasilisha michango: Tumia M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa)  Natanguliza Shukrani.

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
  0788 111 765
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 2. k

  kilakala Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru ndugu mjengwa kwa kuanzisha huo msaada kwa mama yetu. Tuko pamoja nawe. Nitawasilisha kiasi changu kidogo kwa tigo/mpesa.
   
 3. C

  CRITO Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani jamiiforum acheni unafiki.yaani habari hii mnaificha kwenye matangazo madogomadogo.hadi kinyaa.
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...kweli jamani hii haijatulia sana. Tafadhali iwekeni mahali pengine lakini sio huku.
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Baada ya kufanikisha "mtakati" ya kumuuwa mwangosi sasa unakuja na wizi tena wa pesa, una roho ngumu sana.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  asante maggid kwa kuanzisha hili... nitajitahidi kuchangia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. C

  CRITO Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii mada ipelekwa kwenye jukwaa la siasa.kwa nini inafichwa huku haionekani?
   
 8. m

  maggid Verified User

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Harambee Ya Mjane Wa Daud Mwangosi; Waliochangia Na Kiasi Kilichopatikana Hadi Sasa...

  1. Chris Cremence 100,000
  2. Anonymous 500,000
  3. Maggid Mjengwa 100,000
  4. Raymond Kasoyaga 20,000
  5.Edward Mgogo 10,000
  6.Joachim Kiula 5,000
  7.Libory Muhanga 5,000
  8.Geofrey Kagaruki 10,000
  9.Sadiki Mangesho 10,000
  10. Edwin Namnauka 40,000
  11.Daud Mbuba 10,000
  12. Anonymous 200,000
  Jumla: 1,10,000 ( Milioni Moja Na Kumi Elfu?

  Kiasi kilichobaki kutimiza lengo? 1, 190,000 ( Milioni Moja Na Laki Moja Na tisini Elfu)

  Background:
  Ndugu zangu,
  Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
  Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.

  Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.

  Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.

  Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
  Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.

  Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.

  Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

  Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
  Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.

  Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
  Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.
  Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
  Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
  Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.
  Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.

  Namna ya kuwasilisha michango: Tumia M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa)

  Natanguliza Shukrani.

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
  0788 111 765
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Big up wadau.
   
 10. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa michango yenu kwa ajili ya familia hiyo mungu atawalipa kwa mlichotoa, lakini inabidi tujiulize kwa hii serikali yetu msiba wa KANUMBA walihaidi na kutoa mil 10 sasa kwa hili ambalo wenyewe ndo walioua wamekaa kimya au marehemu alikuwa ni mkosaji kwa serikali? kama sio why wamekaa kimya
   
 11. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Hivi Yule Wa Morogoro kachangiwa Kiasi gani?
   
 12. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  watu wali hijack msiba, ndugu wakakataa ushirikiano hata wa cdm kwani hukusikia?
   
 13. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwenye suala la pesa hapa ndio tutawaona wale wapiga tarumbeta wa slaa watatoa? Au itakua kubwabwaja tu? By the way n gud idea kaka mujengwa n mfano wa kuigwa.
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,534
  Trophy Points: 280
  Inatia moyo..
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Rpc Iringa kachanga kiasi gani?
   
 16. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cdm wangetoa hata milioni **** sababu wao ndio chanzo
   
 17. K

  Kayinga junior Senior Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbeya kunani?orodha nikubwa ctaki nitaje wote,Ulimboka kaponea mdomoni mwamamba kesho ni mimi,ila wazo nzuri wadau changieni.
   
 18. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  unamfaham anonymous ktk ile orodha?
   
 19. m

  maggid Verified User

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  1. Chris Cremence 100,000
  2. Anonymous 500,000
  3. Maggid Mjengwa 100,000
  4. Raymond Kasoyaga 20,000
  5.Edward Mgogo 10,000
  6.Joachim Kiula 5,000
  7.Libory Muhanga 5,000
  8.Geofrey Kagaruki 10,000
  9.Sadiki Mangesho 10,000
  10. Edwin Namnauka 40,000
  11.Daud Mbuba 10,000
  12. Anonymous 200,000
  13.Mikidadi Waziri 6,000
  14. Bungaya Mayo 5,500
  15. Abraham Siyovelwa 50,000
  16. Godfrey Chongolo 22,222
  17. Jacob Mwamwene 51,000
  18. Denis Bwimbo 153,683
  19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
  20.Felex Mpozemenya 10,000
  21.Rweyendera Ngonge 11,000
  22. Festo Temu 10,000
  23. Azaria Mulinda 10,000
  24.Khatibu Kolofete 5,000
  25. John Bukuku 25,000
  26. Abel 10,000
  27. Hafidh Kido 10,000
  28. George Mtandika 16,000
  29. Shy-Rose Bhanji 200,000
  Jumla: 1,605,464 ( Milioni Moja Na Laki Sita Na Tano Na Mia Nne Na Sitini Na Nne)

  Kiasi kilichobaki kutimiza lengo? 595,000 ( Kiasi cha shilingi lakini tano na tisini na tano elfu
  )

  Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Crdb A/ c 01j 2070759000 Maggid Mjengwa, NBC account ni 028201037642 jina Maggid Mjengwa. Tafashali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union au Benki)

  Background:
  Ndugu zangu,
  Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
  Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.

  Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.

  Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.

  Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
  Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.

  Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.

  Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

  Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
  Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.

  Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
  Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.
  Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
  Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
  Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.
  Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.

  Namna ya kuwasilisha michango: Tumia M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa)

  Natanguliza Shukrani.

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
  0788 111 765
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ngoja nasie tuchangie kidogo.
   
Loading...