Mamlaka zinasemaje juu ya hili?

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Kumekuwa na baadhi ya bodaboda zinaliza alarm(ving'ora/ving'ola) kama vile vya polisi au ambulance, hivi swala hili ni sawa? Kama si sawa mamlaka zinazohusika zinasemaje?
Nawasilisha.
 
hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa
 
hongera sana hata mimi nakerwa sana na hivyo ving'ora na havipaswi kupigwa bila sababu maalum mamlaka zichukue hatua stahiki sasa

Labda kama jambo hilo linaruhusiwa ila vinginevyo haya mambo sasa yanavuka mipaka.
Tena naona kama watu waidhihaki dola.
 
Back
Top Bottom