Tahadhdri kubwa sana kwa watumiaji daladala dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhdri kubwa sana kwa watumiaji daladala dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by anin-gift, Sep 17, 2012.

 1. a

  anin-gift Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mallya Prosper
  about an hour ago near Dar es Salam ·

  [h=6]kuwa makini TAHADHALI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA DALADA JIJINI DAR

  JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA.BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA WALIOSIMAMA ALIKUWAPO MZEE MMOJA ALIYEKUWA NA HAND BAG KAMA TUNAZOBEBEA LAPTOP HIVI, YULE MZEE ALIMUOMBA MJOMBA WANGU AMSAIDIE KUMSHIKIA BAG LAKE KWA KUWA YEYE ALIKOSA SITI, BILA YA KUSITA AKAAMUA MUMSAIDIA KALE KA BAG" BAADA YA VITUO VIWILI YULE JAMAA MWENYE KA BAG; ALITEREMKA BILA MJOMBA WANGU KUMUONA NA YEYE HAKUWA NA WASIWASI KWA KUWA ALIJUA MWENYE MZIGO AKITAKA KUSHUKA ATAUCHUKUA TU MZIGO WAKE.

  KABLA GARI HAIJAFIKA KITUO CHA TATU ILISIMAMISHWA NA WATU WALIOJITAMBULISHA KWAMBA WAO NI ASKARI POLISI WAPELELEZI KWAMBA KUNA KITU WANAPELELEZA,WAKAWAAMURU ABIRIA WOTE WATEREMKE KWENYE GARI,WALIFANYA HIVYO MMOJA WA WALE POLISI, WALIMFUATA MJOMBA WANGU NA KUMUULIZA 'NA WEWE KWENYE BAG LAKO KUNA NINI? AKAWAJIBU BAGI SIYO LANGU KWA HIYO SIWEZI JUA NDANI KUNA NINI!! WAKAMUULIZA TENA, MWENYEWE YUKO WAPI TUONESHE" AKAANGALIA KATI YA WALE ABIRIA WENZAKE HAKUMUONA.

  WAKASEMA FUNGUA TUONE KUNA NINI NDANI, WALIPOFUNGUA WAKAKUTA KUNA SILAHA AINA YA PISTO.ALIPOJARIBU KUJITETEA WAKAMWAMBIA TWENDE KITUONI UTAENDA KUJIELEZA HUKO. BASI LIKARUHUSIWA NA YEYE WAKAMPELEKA POLISI, WAKIWA NJIA WAKAMWAMBIA KAMA ANATAKA WAMWACHIE ATOE LAKI NANE 800,000/= VINGINEVYO WATAMUUNGANISHA KATIKA KESI YA WIZI WA KUTUMIA SILAHA,AKAWAAMBIA SINA HIZO PESA NA SIWEZI KUTOA MPAKA SASA BADO YUPO NDANI.HII INATUKUMBUSHA KWAMBA NI KWELI TUNAPENDA KUWASAIDIA WATU ILA TUWE MAKINI NA MISAADA TUNAYOITOA.

  MZEE ALIKUWA NA NIA NJEMA KABISA YA KUTOA MSAADA ILA MSAADA UMEMGHARIMU MAISHA.

  Mwisho napenda kuwatahadharisha watu wote tuwe makini na watu tusiowajua,  [/h]
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Taarifa kama hizi ndo zinanifanya nizidi kuwa na roho butu! Utapeli kila mahali yaani! Poleni aisee.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Good story tale !
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Dah kweli WIZI WA DSM UME ADVANCE SANA
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Roho mbaya ndio tiba ya wakorofi
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kenya kuna dada kwenye matatu
  alikutana na mtu
  yule mtu akamwambia niazime simu yako nimtumie sms ndugu yangu
  nina dharura kidogo

  akampa simu,yule mtu akatuma sms

  kushuka tu yule dada akabebwa na polisi

  kumbe yule mtu ni jambazi anatafutwa kwa kesi kubwa ya mauaji
  mpaka police kuja kumuamini na kumuachia
  aliteseka.....
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Asante kwa taarifa
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  saizi ni roho mbaya tu kwe daladala hamna cha nisaidie mzigo.!
   
 9. a

  anin-gift Senior Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ukiangalia kwa makini utaja gundua polisi nao wapokwenye hii mission thus why wanaendelea kumshikilia ndugu ili wavune pesa na ubaya jamaa wakicheza naeza enda jela kweli:director:
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duuu kweli maisha nomaaa unyama unyamani.
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nimesikitika sana na Taarifa hii yenye kutupa tahadhari yaani wema umemponza tangu sasa mtu akikwambia naomba nishikie hiki sijui kile mwambie afungue ndani kwanza!
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  du kwelli dunia tanmbara bovu eeeeeeeee
   
 13. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  usimshtaki mtu kwa hila, alisema YESU
   
 14. papason

  papason JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Jamani tusisite kutoa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya uovu wa wachache!

  Siku zote penye ukweli uongo ujitenga!
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Serikali ya CCM ndio inazalisha hawa matapeli baada ya kushindwa kuzalisha ajira halali.
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  mi kwa kweli siamini watu wa road hata kama kavaa suit
   
 17. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa,huyo mtu si mjinga wa kuacha bastola,dili hilo.Wanasemaje kwa sasa wakipewa hiyo fedha watachukua?
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  duh poleni!
   
Loading...