Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana-JF, Hivi solution ya msongamano pale Ubungo ni kuondoa kile kituo tu? kwa uwezo wetu woote wa kufikiri, ni lazima Ubungo bus terminal iondoke kuninusuru Dar na msongamano? na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mradi wa BRT jijini umesua sua kwa muda mrefu sana. Hata hivyo kuanza kwake mradi umekumbana na matatizo mengi sana na sasa imeanzza kudhihirika kuwa uongozi wa BRT ni dhifu sana kimipango kiasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni baada ya kubandika tangazo rasmi la kusitisha malipo ya ''mafao''. Wanachama waliokuwa hawana taarifa na wamekuja kuchukua malipo yao wamekuwa mbogo ile mbaya. Nilikuwa napita na hamsini...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Gazeti letu pendwa na huru la mwananchi limekuwa likiripoti habari ya mke wa kigogo wa polisi kuwatapeli vijana bila kutaja jina la huyo kigogo wala la mke wake (yalikuwa yakihifadhiwa) ila leo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa sasa kuna juhudi kubwa ya kuhakikisha kuwa tatizo la foleni linapunguzwa katika jiji la Dar es salaam. Lakini kwa upande wangu nina wasiwasi na hali ya huduma za serikali hasa kwa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kulikoni tbc-1,kutumia muda mwingi kuonyesha vipindi vya kung fu,za china?imekuwa kama ni tv ya taifa ya china!ina maana hakuna vipindi vya hapa tanzania?au hata ngoma za asili,au ndio hiyo sera...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatimaye Mzawa Godwin Rwenyagila awa country Director wa NSN......yezakuwa ile barua ya wazalendo imezaa matunda......
0 Reactions
11 Replies
2K Views
GT, naombeni msaada na tueleweshe jamii ni namna gani utajilinda ama uta-behave unapakabiliana na polisi. Nimeleta uzi huu kutokana na orodha ndefu ya raia wliouawa na polisi bila hatia yoyote na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu... Wadau inakera sana mtu unaye muamini anavyoku dhulumu pesa ulioihangaikia kuitafuta kwa shida na uchungu sana..unamkopa kwa lengo la kumsaidia shida yake na kiustaarabu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimfariji Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu alipofika kuhani msiba wa Marehemu baba yake Mhe. Tundu Lissu mzee Agustinio Lissu Mughwai Nyumbani kwake...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Mama mama mamaaa!Wakuu ule usemi usemao nipishe nipite umedhirihika leo baada ya mkuu wa nchi hii kusaini makaratasi kadhaa bila kuyasoma kwa makini na mkuu mwingine mkali kweli kweli anayeongoza...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Yetu ASKARI polisi wanne wa kituo cha Polisi Mkugwa kilichopo Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanashikiliwa kwa tuhuma za ujambazi baada ya kumpora mwanamke mmoja kiasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkandarasi yupo site anapiga kazi balaa, vibarua wake wanajitaid kuweka uzio wa senyenge uwanja mzima, greda na makatapila yanatamba uwanjani. Vifusi vya mchanga na moram vinaingizwa na malori...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
KWA zaidi ya wiki mbili,Maskani ya Kisonge, Ungujailiweka bango linalosema kuwa"Kunguru hafugiki." "Swadakta, Kisonge safarihii wamesema kweli kabisa,Wazanzibari hawataki mtamawa kurushiwa ndani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
By Florian Kaijage 16th September 2012 Lupita Island, located in Lake Tanganyika, and home to one of the most expensive hotels in the East African region was given under...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa waliosoma makala ya mwandishi nguli ndugu. NDIMARA TEGAMBAGE akilalama juu ya nia ya serikali kuyapa TUZO makampuni ya uchimbaji madini yaliyoisaidia serikali. Hii haiingii akilini kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Obama na rafiki yake wa Uganda 18 Septemba 2012 15:03 Kama kuna rais ambaye watu wengi Uganda wangetaka kukutana naye ni rais wa Marekani Barack Obama. Kijana Christopher Kule, mwenye umri...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wiki nzima sasa mwananchi online haipatikani.Kuna mtu mwenye taarifa zaidi?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwili wa aliyekuwa diwani wa nccr mr sabuni, unaagwa stand ya tax hapa ksulu mjini.diwani huyu kwa vipindi zaid ya viwili, alikuwa diwani wa mgera,kilelema. Enzi za uhai wake alikuwa diwan mchapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nilipata simu toka kwa ndugu mmoja akiniuliza endapo namkumbuka kijana mmoja ambae alikua mchangamfu na alikua akiishi kwenye nyumba flani hivi mtaani. Nikajibu yeah nani asiemkumbuka...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…