Ofisi ya usajili wa wauguzi wizara ya afya imekuwa ikiwanyonya wauguzi pesa zao kwa kipindi kirefu sana. Msajili wa wauguzi hawa amakuwa akijinufaisha yeye na mapato. naomba kujua yafuatayo,
1...
Jeshi la Polisi nchini na Halmashauri ya wilaya ya Ilala wamekataa ombi la waislam kufanya swala ma mkutano waliokuwa wameupanga kuufanya ndani ya viwanja vya Jangwani leo kupinga filamu inayo...
Maandamano makubwa yametawala nchini India baada ya serikali kuruhusu makampuni ya kigeni kama vile Walmalt kufanya biashara nchini mle. Wananchi wamechukizwa na hatua hii kiasi cha kuingia...
Gazeti la mwananchi toleo la tar 20/9/2012 ukurasa wake wa mbele limetoa picha ya wanafunzi wa shule ya msingi Mwere manispaa ya Morogoro wakiweweseka kujibu mtihani wa taifa hisabati wa kumaliza...
Kama kuna mtu anafanya kazi benki ya NBC tafadhali naomba uwasiliane nami kupitia PM.
Nina shida/jambo la muhimu sana ambalo nataka nijue wapi pa kuanzia.
Natanguliza shukurani zangu.
Kama kawaida wale vijana wenzangu wa zamani mida hii ya saa 4 usiku fungulia Radio Free tujikumbushe enzi zileeeee za mabugaloo laizon na magauni ya max
Utafiti niliofanya kama mtaalamu wa saikolojia nimebaini sababu kadhaa za watu kuwa mafisadi au kujilimbikizia mali, mojawapo ya sababu kuu ni KUTOJIAMINI (low self-esteem).
Mtu asiyejiamini pia...
WanaJF,
Kabla ya kusoma na kuielewa hii thread inafaa kwanza kupata muda kuipitia ile thread iliyoko hapa:
www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/322444-vodacom-tz-kwafukuta.html...
Nimesikitishwa sana na taarifa za zaidi ya wanafunzi 4000 kukosa mikopo kwa ajili ya kugharamia elimu yao ya juu.Nii wazi kuwa watoto wa maskini wa nchii hii(umasikini ambao msingi wake ni...
Tanesco kanda ya kinondon inatekeleza mladi wa umeme Bunju katika viwanja vipya vya mladi.
Lakini kinachoendelea huko ni sinema tupu. Magari yakija na nguzo kumi yanarudi na tano, haifahamiki...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida watanzania tunatatizo la kuharibu mazingira hasa misitu, imekuwa ni janga la kitaifa kwa wananchi wa vijiji mbalimbali nchini kukata miti na kuharibu misitu kwa...
Nimesikia CHADEMA ina TV kupitia mtandao wakati wakiendelea na process za kupata TV kupitia masafa. Any link? Au ni hii? CHADEMA TV NETWORK on USTREAM: This is the NEWS AND EVENTS channel network...
taharifa nilizopata kutoka mjini kemondo,kagera watu wawili wakamatwa wakiwa katika harakati za kuchuna ngozi watoto,raia wawasha moto,polisi waingilia kati,washambuliwa,kwa habari nilizopata sasa...
Matapeli wanajuwa kubahatisha, hii nimeikuta kwenye in box yangu:
Hi Hi My name is Juliet i am new in this site i saw your profile photo today and admire it i will...
Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA.
Ni hivi...
Wana JF,
Huku Arusha ukiwa wapita Ngulelo karibu na Cet Garden Bar, Hali ya hewa imechafuka kabisa.
Hii ni kutokana na kuachiwa huru kwa Mtuhumiwa kwa kesi ya Mauaji. Mtuhumiwa ni Remini Ni...
​Nimefuatilia uhusiano wa Tangazo lilitolewa na idara ya Hali ya hewa kuhusu uwezekano wa Kutokea Elnino Mwaka huu na yale matangazo na utekelezaji wa TANESCO wa kukata umeme uliyofuata...
Habari wana jf
Nimekuwa nikipita barabara ya Ali Mwinyi pale ilipokuwa Nyumba ya sanaa zamani pembeni mwa hotel ya Serena, naona kumezungushiwa uzio na kuna process za ujenzi zinaendelea lakini...
Wanajamii ningeomba msaada:-katika balozi zote huko nje ya tanzania, Je Zanzibar ina mabalozi wangapi na Tanganyika ina mabalozi wangapi mna kila nikisikia majina ya mabalozi wetu wooote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.