Afadhali tuwape wakoloni tuzo kuliko hawa wawekezaji wa sasa

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Kwa waliosoma makala ya mwandishi nguli ndugu. NDIMARA TEGAMBAGE akilalama juu ya nia ya serikali kuyapa TUZO makampuni ya uchimbaji madini yaliyoisaidia serikali.
Hii haiingii akilini kwa watu hawa wanaojenga madarasa mawili na kutuibia mabilioni kwa huu ukoloni mpya wenye majina laini kama wawekezaji ubia na uhisani wanapata TUZO.
Hawa mabeberu wanahuruma kiasi gani au ufadhili upi wanaotupa kiasi cha kupewa TUZO?
Kwa mantiki hiyo ni heri tuwape WAKOLONI wa zamani waliojenga mashule, hospitali, reli, mabarabara kuliko hawa wa kutuachia mashimo.
jamani tuiombee nchi yetu kwa imani zote
 
mmh, kwani wawekezaji wanachukua mali hizi kwa mtutu wa bunduki?

Bo.gus treaty bado zinatusumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom