NSN sagga: hatimaye mzawa awa country Director | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSN sagga: hatimaye mzawa awa country Director

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Laigwanan76, Sep 19, 2012.

 1. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hatimaye Mzawa Godwin Rwenyagila awa country Director wa NSN......yezakuwa ile barua ya wazalendo imezaa matunda......
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi Sana ngoja nitume CV nsn ni-apply Field Maintanance Engineer.
   
 3. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hatimaye mtanzania Gordon Rwenyagira aukwaa u-Director.....Today NSN MEA has appointed Gordon Rwenyagira to become Country Director.......source with held.......ntawajuza kadri nitakavyo habarishwa.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Lakini si mnasema wazawa wakipandishwa vyeo huwa hawawakumbuki wazawa wenzao, wanaishia kujenga majumba makubwa na kujinunulia migari ya kifahari, kwahiyo hapa hakuna cha kufurahia.
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kiini macho hiyo ya mwekezaji, jamaa ajiandae kuripoti kwa Operation Director kama atakua mzungu. Yaani in short wazungu wanasema ni white elephant hana atakachowafanyia waTanzania
   
 6. M

  Mgengeli Senior Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NSN ni kitu gani? hebu mnisaidie nielewe
   
 7. M

  Mgengeli Senior Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NSN ni kitu gani? hebu mnisaidie nielewe
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  www.google.com

  Nokia Siemens Networks--Telecom Vendor
   
 9. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nokia Siemens Networks MEA
   
 10. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yeah,kwahiyo jamaa kama kawa ataanza kuonyesha makucha yake......unajua jamaa wako kwenye upunguzaji wa wafanyakazi,hivyo mzigo mpe mnyamwezi......kunradhi watani zangu wanyamwezi
   
 11. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  mnavyo shangilia ugal wa mtu utafikir atakukumbuka kwenye ufalme wake!
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ##roho mbaya haijengi hubomoa kila kitu roho si mtaji useme uufanye utajirike## Jahazi Modern Taarab
   
Loading...