kulikoni tbc-1,kuwa cctv!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,305
13,265
kulikoni tbc-1,kutumia muda mwingi kuonyesha vipindi vya kung fu,za china?imekuwa kama ni tv ya taifa ya china!ina maana hakuna vipindi vya hapa tanzania?au hata ngoma za asili,au ndio hiyo sera mpya ya wachina kwa bara la africa?
 
yani wananiboa. . .ndiyo najua si vibaya watuonyeshe vitu vya kichina sema naona hiyo partnership inawaburuta
 
Huoni hata taarifa zao za habari na vipindi vingine vimekaa ki-fake fake kama bidhaa za kichina ndo hivyo tuna television ya taifa fake!
 
kulikoni tbc-1,kutumia muda mwingi kuonyesha vipindi vya kung fu,za china?imekuwa kama ni tv ya taifa ya china!ina maana hakuna vipindi vya hapa tanzania?au hata ngoma za asili,au ndio hiyo sera mpya ya wachina kwa bara la africa?
Tulikwisha poteza uzalendo, utaifa, tamaduni na kila asili! Leo tumebakiza kikoboa sura tu ili tuwe vile tunavyodhani ni sahihi kwetu.
Hayanishangazi.. ila nna siku sitazami TV za Tanzania, maana zingine utadhani uko Nigeria!! zingine hazieleweki ni za uphilipino au wapi yaani! tunahitaji kuamka
 
Kwani tatizo kwa Tbc 1 ni kuonyesha Kung- fu au ? Naona raia nyote mneiandama Tbc

Near by Mbozi Mbeya.
 
Back
Top Bottom