Mtanzania mwenzetu akutwa na maafa China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania mwenzetu akutwa na maafa China

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Good Guy, Sep 17, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Jana nilipata simu toka kwa ndugu mmoja akiniuliza endapo namkumbuka kijana mmoja ambae alikua mchangamfu na alikua akiishi kwenye nyumba flani hivi mtaani. Nikajibu yeah nani asiemkumbuka? Akaanza nipa habari, huyu kijana amekaa mtaani kwa muda mrefu bila kazi ndipo kuna m2 alipomwambia kua atampa dili la kwenda China, atakua analeta Cocaine kwa kumeza. Kweli kaenda trip ya kwanza karudi na mzigo na alipewa takriban milion6 za kitanzania. Mara ya pili na ya tatu pia zilipita bila tatizo. Mara ya nne akiwa China amemeza dawa usafiri uliahirishwa kwa muda tokana na hali ya hewa akalazimika kurudi hotelini. Madawa yakawa yamekaa mda mrefu yakapasukia tumboni. He died after a short period of time. Kuwasiliana na ubalozi wakaongea na ndugu zake kua ndugu yao kafariki. Ndugu wakakusanya kusanya hela kama mil10 na kuagiza wa2 kwenda kumfata. Walipofika wakambiwa hawafanyi kazi hivo wanatakiwa walipe 16mil shs shirika lao ndo litautuma mwili na wakapewa ndani ya miezi mi3. Ndugu walishindwa kupata hiyo pesa na hiyo jana ndo wamepata taarifa jamaa wamewachoma moto huko. BEWARE WATU PESA ZA HARAKAHARAKA HIZI ITS NOT WORTH T. Rip marehemu
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Rip marehemu
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  dawa ya moto ni moto.......
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  akili za kipumbavu sana hizi.yaani unabebeshwa madawa kwa ajili ya 6m?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Wamchome tu, huku tukipata majivu tutayazika hayohayo
   
 6. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye kuchoma, umenifanya niiamini hii habari maana hawa jamaa kweli hawaziki. Maiti inachomwa tu kama mabaniani.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hebu acha kutuchafulia JF yetu, lete habari ki- GT na si kama kijiwe cha kahawa. Tueleze jina la kijana, na alikuwa anakaa mtaa gani.
   
 8. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Msitukane tatizo la ajira linapelekea wimbi la vijana kuingia kwenye biashara hatarishi kama hizi RIP kamanda,mnaotukana inaonekana mmeajiriwa vijisenti haviwapigi chenga kumbukeni kuwaandalia watoto wenu maisha bora yasije yakawakuta ya huyu kijana

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 9. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  cocaine kutoka china? au kwenda china naomba kueleweshwa
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ardhi imejaa
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mdogo wangu naona una improve tokea utolewe mirembe haa haa haaa

  Siku njema
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Cooked Story.........
   
 13. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Ni kweli akili za kipumbavu lakini pia tunahitaji kuangalia sababu zinazofanya hawa watu wajiingize kwenye kazi hizi za risk maana binadamu tumetofautiana uvumilivu
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  .
  Ndo naripoti habari hivo wakuu, Belive t or not hii sio ya kutunga. Any one but me, i respect the Forum too much to do somethng like that. Sidhani kama itakua vema kuanika every single detail without his family's permission.
   
 15. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  From China
   
 16. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  A short cut is often a wrong cut! Kijana alitaka kuyalia kona maisha atoke fasta! RIP marehemu!

  Halafu wewe Good Guy taratibu na hilo kichwa lako unalielekeza Kwa Kalumbesa atalipasua kwa mapigo ya mateke ya hewani!Ooooh!!
   
 17. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  A
  Ahsante kwa taarifa. rip kijana. Ungejiwezea hiyo mara moja tu ingekuwa powa
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa huyo si kajitakia mwenyewe. Ndio haya tunayasema humu kila siku, unaambiwa tumbukia shimoni unatumbukia halafu watu wanajidai kukuonea huruma.

  Kavuna alichopanda.
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Acha mbwewe hiyo habari ya kupikwa hamna uhalisia hata kidogo,issue kama hyo lazima ingekua online na sources nyingi za habari zingekuwepo....Acha ushigongo.
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hata kama ni Ushigongo, lakini kuna kitu cha kujifunza kwa wale waliokuwa na mawazo ya kutoka kwa kutumia njia hiyo. Aidha, huyo kijana kama ameishaenda safari 3 @ 6 m ina maana kapata 18 m, mbona hapo mbona mtaji tayari angeacha hiyo shughuli haramu, atakase pesa hiyo na kuanza shughuli halali.
   
Loading...