Mwananchi online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwananchi online

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdalah, Sep 19, 2012.

 1. a

  abdalah Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wiki nzima sasa mwananchi online haipatikani.Kuna mtu mwenye taarifa zaidi?
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  sijaona ubora wake hadi liuzwe 800...tokea wapewe karipio kali wamekuwa laini kwa serikali
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wako under maintanance
   
 4. W

  Wisdom youlth Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Now lipo on line,,, but naona ka linapungua ubora, vile sijajua Mwanahalisi hatma yao ni nini.
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa usemavyo. Hem linganisha hizo blue mbili hapo chini na ndio utaona ubabaishaji uliopo

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Cheka atakiwa kupunguza uzito
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Tuesday, 18 September 2012 13:18
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Imani Makongoro
  BONDIA Francis 'SMG' Cheka atalazimika kupunguza uzito wa kilo moja kabla ya pambano lake la kuwania ubingwa wa kimataifa wa mkanda wa UBO dhidi ya Karama 'Captain' Nyilawila litakalofanyika Septemba 2 kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam.

  Cheka anapaswa kupunguza uzito huo ili kufikia uzani wa super middle kg 76 anaopigania katika pambano hilo la raundi 12 dhidi ya Nyilawila, litakalosimamiwa na chama cha ndondi cha PST.

  Kocha wa bondia huyo, Abdallah 'Comando' Salehe aliliambia gazeti hili wakati wa mazoezi ya bondia huyo kwenye uwanja wa Gymkhana kwamba Cheka ameongezeka uzito kidogo.

  "Cheka anapigana uzani wa kg 76, lakini sasa ana kg 77, nategemea katika mazoezi yake haya anatakiwa kupunguza kilo hiyo moja kwa haraka," alisema kocha huyo.

  Saleh alisema hivi sasa bondia huyo yuko katika hatua za mwisho mwisho za mazoezi tayari kumkabili Nyilawila na kusisitiza kwamba 'iwe usiku ama mchana'Cheka lazima achukue mkanda huo.

  "Tayari bondia wangu anarekodi ya kumkung'uta Nyilawila, naamini ataendeleza rekodi yake hiyo kwa kuwapa mashabiki wake zawadi ya kufunga mwaka ya kutwaa mkanda huo," alisema kocha huyo.
  Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...